Matoleo yaliopita ya Range rover yana muonekano wa kiume,Matoleo ya sasa yana muonekano wa kike

Matoleo yaliopita ya Range rover yana muonekano wa kiume,Matoleo ya sasa yana muonekano wa kike

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Range rover za zamani zilikuwa na hadhi ya kiume yani ukiendesha barabarani utasikia mwanaume huyo kapita. Unaweza ukawa na mke wako kwenye kivitz chenu ukamsikia mkeo anakwambia "umemuona mwanaume huyo kwenye Range"

IMG_20190408_095304_900.jpeg

rangerover.life-20190408-0002.jpeg


Tofauti na Range rover za sasa hazina tofauti na Rav 4 yaani, wamezipunguza umbo alafu zina muonekano wa kike kabisa yaani ukiendesha mwanaume huwezi kuwa na heshima kama ile uliyokuwa unaipata zamani

[emoji116] eti ndio toleo lao jipya

rangerover.world-20190408-0002.jpeg


Sasa [emoji115] inatofauti gani na rav 4 new model hiyo

Rav 4 [emoji116]

S1-toyota-rav-4-hybride-only-video-en-direct-du-mondial-de-paris-2018-565519.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti na Range rover za sasa hazina tofauti na Rav 4 yaani, wamezipunguza umbo alafu zina muonekano wa kike kabisa yaani ukiendesha mwanaume huwezi kuwa na heshima kama ile uliyokuwa unaipata zaman
Niliposoma hapa nikagundua mwandishi hajui anachoandika.
 
Back
Top Bottom