Matoleo yaliopita ya Range rover yana muonekano wa kiume,Matoleo ya sasa yana muonekano wa kike

Matoleo yaliopita ya Range rover yana muonekano wa kiume,Matoleo ya sasa yana muonekano wa kike

960x0.jpg
angalia hilo toleo jipya la subaru foresta kwa kifupi ni mwendo wa kuigana
 
Range ni Range tu... Hata wangeleta yenye umbo sawa na vipaso vyenu.... Japo sina gari.... Nduki.
 
LICHADI,
hapa ishu ni siku hizi wanawake nao wanaendesha hizi mashine roho safi tu, sio kama zamani.
 
Wanatakiwa walalamike kina Mkapa sio ww mtoa mada kavipi ngojea toleo jipya la vits au Ist
 
Kuna aina nyingi za Range Rover na bora katika zote nilioiendesha lilikuwa autobiography hilo dude bei yake barabarani lilikuwa £90,000 (bei ya UK)

Zingine nilizoendesha ni vogue na evogue pamoja na sport na Velar kwa kweli kama ni gari haya ndio ya kuendesha na kila mmoja anaendesha awe dume au jike

Yapo yenye muonekano mkubwa na yapo madogo

Lakini kama hujapenda unaweza ukatungua hata Land rover discovery ambalo lina heshima yake kubwa pia na ukiingia ndani na kuliendesha kwanza ukilitekenya tu ile button likawaka haliondoki bila kugusa kitufe kimoja hapo halafu unaliona linavyohiweka sawa katika ardhi.

Halafu ukiwa unashuka kwenye mteremko ina button unaigusa inanyanyuka mbele
Pia unaweza kuishusha chini na kuipandisha juu yaani kama ni beast hilo ni baba lao


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Range Rover na Mercedes Benz kuwakosoa ni kwadharau sana hizo gari unaziona kama zipo kimayai mayai aisee zinaatamia bara bara hatari kagari kadogo lakini kana uzito na balance utadhani gari kubwa na mapumziko ndio nyumbani kwake hapo...Eti Range sawa na Rav 4? wabongo kwa dharau Mungu atusaidie kwa kweli...
 
Daah discovery 5 umeshaichek mkuu?

Mbaya kishenzi imekua ya kidemu-demu ule masculine wote kushnei.

Bora disco. 4 aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaha aisee unaziponda sana yaani ungekuwa Jeremy Clarkson na umeziponda hivi hakuna wa kununua tena
Lakini gari zote ni (She) zinabeba watu [emoji1]
Discovery zinatufaa wazee kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hahah mi nilikua nazipendea ule u-masculine mkuu sasa kama disco. 5 ilivyo sasa hivi haitishi tena mkuu.

Jeremy tangu aende kule the grand tour hata mzuka wa kumfuatilia haupo tena mkuu hahah.
Hahaaha aisee unaziponda sana yaani ungekuwa Jeremy Clarkson na umeziponda hivi hakuna wa kununua tena
Lakini gari zote ni (She) zinabeba watu [emoji1]
Discovery zinatufaa wazee kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom