Zikitengenezwa zenyemuonekano wa kiume mnazigeuza breakdown kubeba magari mengine. Wakati hiyo kazi haiwahusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true aseeNaunga mkono hoja kwa asilimia 100% na zaidi,hizi Range za miaka hii hazina ule u-masculine nadhani zilitengenezwa kwa ajili ya kina mama/dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inabadilika na ni lazma na Range wasibaki nyuma nao wabadilike, mkitaka magari ya kiume si mnunue ma Scania 114...
Hayo magari yana wenyewe, wenyewe huwezi kuwaskia wakilalamika, tupambane na vi passos vyetu hamna namnaKubadilika gani huku sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliposoma hapa nikagundua mwandishi hajui anachoandika.Tofauti na Range rover za sasa hazina tofauti na Rav 4 yaani, wamezipunguza umbo alafu zina muonekano wa kike kabisa yaani ukiendesha mwanaume huwezi kuwa na heshima kama ile uliyokuwa unaipata zaman