Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ajabu sana kwa kweli yaani umshushe mwenye Range umpe Rav4 kwanza hata hadhi yao tofauti [emoji38][emoji23][emoji23]Range Rover na Mercedes Benz kuwakosoa ni kwadharau sana hizo gari unaziona kama zipo kimayai mayai aisee zinaatamia bara bara hatari kagari kadogo lakini kana uzito na balance utadhani gari kubwa na mapumziko ndio nyumbani kwake hapo...Eti Range sawa na Rav 4? wabongo kwa dharau Mungu atusaidie kwa kweli...
Nimekuelewa vizuriHahah mi nilikua nazipendea ule u-masculine mkuu sasa kama disco. 5 ilivyo sasa hivi haitishi tena mkuu.
Jeremy tangu aende kule the grand tour hata mzuka wa kumfuatilia haupo tena mkuu hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah shukrani sana mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waingereza nuksi kwa maneno
Nimecheka sana
Asante boss have a nice day
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Toleo la Forester ninalolikubali ni lile la 2008 liko well face liftedView attachment 1065835angalia hilo toleo jipya la subaru foresta kwa kifupi ni mwendo wa kuigana
Grand tour iko poa sana,.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waingereza nuksi kwa maneno
Nimecheka sana
Asante boss have a nice day
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ahahahaaaa hiyo chombo huwa inapumua sijapata ya ukuilinganisha nayo, 114 H with turbo manina utaisikia inakuitikia ukiibadilishia gear "uuuuuh"Dunia inabadilika na ni lazma na Range wasibaki nyuma nao wabadilike, mkitaka magari ya kiume si mnunue ma Scania 114...
Nakazia IvecoDunia inabadilika na ni lazma na Range wasibaki nyuma nao wabadilike, mkitaka magari ya kiume si mnunue ma Scania 114...
Na pia ukija kwenye Discovery ni kuanzia Discovery 2 hadi 4 tu ndo nzuri ila ukija Discovery 5 hazina mzuka kabisa wa muonekano..Ilo ni kweli mkuu,
Nazihusudu sana hizi Range za 2010 kushuka chini
Sent using Jamii Forums mobile app
ata me nataka Ferrari ila bara bara ndo tatizo. Ngoja mwanangu aje kua waziri wa ujenzi ndo ninunuesinunui gari kama hilo
bei yake ni rahisi Sana
bora nitembee kwa miguu