CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Habari za Jumapili wana jukwaa, kuna dogo kaniuliza hili swali nimebaki naachama tu mdomo.
Naomba mnijuze matongotongo kwa kiingereza yanaitwaje.
Wasalaam
CL
Naomba mnijuze matongotongo kwa kiingereza yanaitwaje.
Wasalaam
CL