Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakati Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania, Sefu Shabani, maarufu kama Matonya akiendelea kushikiliwa na mkono wa sheria huko nchini Kenya, ndugu wa karibu anayefahamika kama Omary ambaye yuko nchini Kenya ameelezea kukwama kwa mawasiliano na kuomba msaada wa haraka kutoka kwa msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz
Omary amedai kuwa kwa sasa hana njia ya kuwasiliana na watu wa karibu baada ya kunyang'anywa simu yake
"Nimepokonywa simu, sina mawasiliano na mtu yeyote, Lakini nina imani kubwa kuwa mdogo wangu Diamond Platnumz angeweza kunisaidia katika hili kama ningeweza kupata namba yake yeye ndiye matumaini yangu makubwa kwa sasa, lakini tatizo ni namna ya kumfikia''
Soma zaid > Mwanamuziki Matonya ashtakiwa kwa ubakaji nchini Kenya
Matonya ambaye ni Msanii wa Bongo Flava kwa zaidi ya miaka 15, amewahi kutamba na nyimbo zilizopendwa sana kama vile 'Vaileti', 'Anita', 'Siamini', na 'Taxi Bubu'
Chanzo: East Africa Radio