niliwahi
kusikia
uyu
matonya
anajenga
bonge
la
hotel
morogoro,nikweli?
hapana anaejenga atakuwa ni yule matonya ombaomba
Huo ni upande mmoja tu wa sarafu. Pande zingine mbili bado hazijasikika.
Hivyo msiwe wepesi sana wa kuanza kuamini amini tu kila kitu aropokacho huyo binti bila kuwa na subira ya kuskiza pande zingine nazo zina lipi au yepi ya kusema.
Ni wehu kumuunga mkono RUGE na tabia yake ya kiburi cha vijifedha vya wasanii masikini hadi kufikia kuzuia bongo fleva isipigwe siku nzima, ameajiri vibarua ndio wanaomuabudu, shame, ,natoka zangu USA leo na nitahudhuria show ya JIDE kwa kusudi tu kumuunga mkono dada huyu aliyetoka kwenye mikono ya matapeli wenye kula juu ya migongo ya wenzao.
Poa, hayo ni maoni yako na nakutakia kila la kheri kwenye hiyo show ya huyo binti.
Ni wehu kumuunga mkono RUGE na tabia yake ya kiburi cha vijifedha vya wasanii masikini hadi kufikia kuzuia bongo fleva isipigwe siku nzima, ameajiri vibarua ndio wanaomuabudu, shame, ,natoka zangu USA leo na nitahudhuria show ya JIDE kwa kusudi tu kumuunga mkono dada huyu aliyetoka kwenye mikono ya matapeli wenye kula juu ya migongo ya wenzao.
Hivi kila mtu akiweka kwenye blog maongezi yake na watu wanaomdai itakuwaje
SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE
Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungiaLakini tetesi zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu waliposkia kuwa atashiriki onyesho la miaka 13 ya JayDee, wakamwambia aachane na hiyo show na kuwa watampa hela ambayo angelipwa kwenye show hiyo.
Na pia wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya JayDee,Hizo ni fununu, ambazo hazina uhakika.
Lakini tukirudi upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali na kukubali kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.
MATONYA: Kaka kumbe tarehe ni lini kumbe:
CAPTAIN: Ni Ijumaa tar 31 May 2013 kaka mwezi ujao. Tutakuwa na Linah, Jay, Barnaba, Matonya, TID, hamza Kalala
MATONYA: Kaka kumradh sana kuimba na band kwasasa sitoweza manake mtaitaji mandalizi makubwa ili nifanye kazi vzr_ningeomba nitizamwe ktk kazi ingine bro kumradh sana
CAPTAIN: Du! Nshatangaza ilikuwa kaka lakini sawa. Je ntapata ile hela kaka nilipe wengine ndg yangu
MATONYA: Aisee hata nimekosa raha kukujuza iliswala br_kesho satano mtampa yule rafki angu anaitwa pizon_walikuja kuleta ile pesa ya gari kwaio wataileta apo apo oficen
CAPTAIN: Sawa kaka usijali, Nitashukuru akiileta ili huku nisipate lawama
MATONYA: ok bro
Mara kimyaaaaaaa....... baada ya siku mbili tatu maongezi yakaendelea
CAPTAIN: Naam kaka mzigo haujaletwa. Tafadhali ileteni tu hiyo hela ya watu kaka mi napewa lawama isitoshe we ni ndugu yangu usikubali hela ndogo iharibu.
MATONYA: Gadna aiwezi kuwa ivyo_kuna mapungufu kidogo nayaweka sawa uipate kumradh sana brother
CAPTAIN: Asante
Siku ikapita tena
MATONYA: Kaka kdg kunamisteki nimecheza,, lakini wiki hii haitapita mtakuona bro nimekwama kaka lakini ntajua cha haraka
CAPTAIN: Sijaelewa kaka ni laki **** tu kunirudishia nduguyo nilipe wasanii wengine kwani kuna tatizo au
MATONYA: Bro naskia haya - skutaka hata kuku2mia msg mlitaka ni2we namzigo 2 ila kunambio kdg zimekwamisha nikaona bora kukujuza kuliko kukaa kimya bro tatizo haliwezi
CAPTAIN: Sawa we ni ndugu yangu, basi nisaidie tu irudi hiyo advance niliyokupa ili uniepushe na lawama huku kaka. Au niende kwa bimkubwa Tanga nikalalamike? Ha haaaa haaa
CAPTAIN: Fanya hivyo mdogo wangu nilitaka uwepo ktk show kwa upendo tu lakini haijawa, basi nisaidie tu kurudisha hiyo advance maana nadaiwa na wasanii wengine niwape. Au sio?
MATONYA: Kaka nibendi ndio haya yangu kwasasa nastaki kuharibu kazi yako bora niwe mkweli.. Naswala lako halitoki kichwani bro
CAPTAIN: Sawa jamaa yangu, basi nisaidie ile advance irudi ili niweke mambo sawa huku, mimi sina mdhamini mpaka leo aliyetoa hela, najitegemea tu mfukoni, naomba nirudishie nilipe wengine..Au namoro matonya we ni ndugu yangu?
MATONYA: Sawa brother mtalisimamia soon nikuweke sawa sawa brother - akuna litakalo shindikana kaka amini 2
CAPTAIN: Utarudisha lini nipe uhakika kaka, niko na shida
Mazungumzo ndio kama hayo mmeyasoma.
Mpaka blog inaingia mitamboni leo, advance haijarudishwa na hakuna jibu la kueleweka.
Wazee wa fitna kama zile tetesi ni kweli kuwa mmemzuia Matonya asifany hii show ya miaka 13 ya JayDee, na hela ameshaitumia! Kwanini msimsaidie kuirejesha mambo yaishe??
CHANZO : www. ladyjaydee.blogspot.com
Matonya mwenyewe mshamba tu, hana jipya nae kapata skendo ya kutokea pusti yule.
Afu iyo show ya Jide si inagongana na ya F.A au nimechanganya madesa?
jide itabidi awe mwangalifu sana
naona wameamua kummaliza kimuziki
hata mastaa wa nchi zilizoendelea wanapata dhoruba wakati mwingine
ila wanakomaa sana hadi mambo yanakwenda sawa.
jide akitetereka kidogo tu amefilisika