Matonya aingia mitini na hela za jide

Matonya aingia mitini na hela za jide

Kwahiyo tutamis Aniiiitha Anitha wangu yeleilelee

Ila poa kwani si joto Hasira itapigwa??
 
Matonya mwenyewe mshamba tu, hana jipya nae kapata skendo ya kutokea pusti yule.
Afu iyo show ya Jide si inagongana na ya F.A au nimechanganya madesa?
 
Huo ni upande mmoja tu wa sarafu. Pande zingine mbili bado hazijasikika.

Hivyo msiwe wepesi sana wa kuanza kuamini amini tu kila kitu aropokacho huyo binti bila kuwa na subira ya kuskiza pande zingine nazo zina lipi au yepi ya kusema.

Ni wehu kumuunga mkono RUGE na tabia yake ya kiburi cha vijifedha vya wasanii masikini hadi kufikia kuzuia bongo fleva isipigwe siku nzima, ameajiri vibarua ndio wanaomuabudu, shame, ,natoka zangu USA leo na nitahudhuria show ya JIDE kwa kusudi tu kumuunga mkono dada huyu aliyetoka kwenye mikono ya matapeli wenye kula juu ya migongo ya wenzao.
 
Ni wehu kumuunga mkono RUGE na tabia yake ya kiburi cha vijifedha vya wasanii masikini hadi kufikia kuzuia bongo fleva isipigwe siku nzima, ameajiri vibarua ndio wanaomuabudu, shame, ,natoka zangu USA leo na nitahudhuria show ya JIDE kwa kusudi tu kumuunga mkono dada huyu aliyetoka kwenye mikono ya matapeli wenye kula juu ya migongo ya wenzao.

Poa, hayo ni maoni yako na nakutakia kila la kheri kwenye hiyo show ya huyo binti.
 
Poa, hayo ni maoni yako na nakutakia kila la kheri kwenye hiyo show ya huyo binti.

asante ndugu ndo naja kumpa sapoti komando binti machozi, mdada mwenye ujasiri, mjasiriamali, aliyeepuka skendo, mimi kama mcha mungu kwa dini yangu nitamuunga mkono milele
 
Ni wehu kumuunga mkono RUGE na tabia yake ya kiburi cha vijifedha vya wasanii masikini hadi kufikia kuzuia bongo fleva isipigwe siku nzima, ameajiri vibarua ndio wanaomuabudu, shame, ,natoka zangu USA leo na nitahudhuria show ya JIDE kwa kusudi tu kumuunga mkono dada huyu aliyetoka kwenye mikono ya matapeli wenye kula juu ya migongo ya wenzao.

HATA MIMI NITAHUDHURIA KUJAZA UMATI WA MTUME KE SHOW YA ANACCONDA JUST TO SEND A SERIOUS SMS TO CLOUDS N THEIR LIMITED COMPANY THAT "IF GOD IS WITH US NOBODY CAN BE AGAINST US"....

ANAGALIZO...
SITOINGIA NDANI ILI NIPINGE KITENDO CHA JIDE KUWEKA VIINGILIO KANDAMIZI BILA KUJALI HALI YA UCHUMI NA VIPATO DUNI VYA SISI WATANZANIA WA HALI YA CHINI AMBAO NDIO WASHABIKI NA WAPENZI WAKE KISA TUU KAAMUA KUFANYIA SHOW KUBWA KAMA HIYO HAPO SITTING ROOM KWAKE BADALA YA KUIPELEKA UWANJA WA TAIFA ILI WATANZANIA TAKRIBANI ELFU 50 TUHUDHURIE KWA KIINGILIO CHA TSHS ELFU 5 NA YEYE ATENGENEZE TSHS MILION 250 NA ATOE KWA JAMII(CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY) TSHS MILION 50 THEN ATOE GHARAMA ZA MAANDALIZI NA ULINZI NA KILA KITU TSHS MIL 100 NA YEYE ABAKIE NA TSHS MIL 100.

POLE JIDE KWA KUTOKUONA ECONOMY OF SCALES (am worried huna washauri wazuri wa masuala ya uchumi na how to win public interests in your economic favours) NA KUONYESHA "UBINAFSI ULIOPITILIZA"....HILO NI KATI YA MAPUNGUFU YAKO KAMA MWANADAMU MWENGINE ALIVYOKUWA NA YAKE...am sorry JIDE and GADNA...yo gotta work seriously on your PR kwa suala hili...

TUNAWAPENDA ILA MUNATUTENGA TUWAPENDAOOOOO....at last TUTAWACHOKA NA MUTAKOSA NGUZO YA KUEGEMEAAAA.
 
jide itabidi awe mwangalifu sana
naona wameamua kummaliza kimuziki

hata mastaa wa nchi zilizoendelea wanapata dhoruba wakati mwingine
ila wanakomaa sana hadi mambo yanakwenda sawa.

jide akitetereka kidogo tu amefilisika
 
SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE



Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungiaLakini tetesi zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu waliposkia kuwa atashiriki onyesho la miaka 13 ya JayDee, wakamwambia aachane na hiyo show na kuwa watampa hela ambayo angelipwa kwenye show hiyo.

Na pia wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya JayDee,Hizo ni fununu, ambazo hazina uhakika.

Lakini tukirudi upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali na kukubali kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.

MATONYA: Kaka kumbe tarehe ni lini kumbe:

CAPTAIN: Ni Ijumaa tar 31 May 2013 kaka mwezi ujao. Tutakuwa na Linah, Jay, Barnaba, Matonya, TID, hamza Kalala

MATONYA: Kaka kumradh sana kuimba na band kwasasa sitoweza manake mtaitaji mandalizi makubwa ili nifanye kazi vzr_ningeomba nitizamwe ktk kazi ingine bro kumradh sana

CAPTAIN: Du! Nshatangaza ilikuwa kaka lakini sawa. Je ntapata ile hela kaka nilipe wengine ndg yangu

MATONYA: Aisee hata nimekosa raha kukujuza iliswala br_kesho satano mtampa yule rafki angu anaitwa pizon_walikuja kuleta ile pesa ya gari kwaio wataileta apo apo oficen

CAPTAIN: Sawa kaka usijali, Nitashukuru akiileta ili huku nisipate lawama

MATONYA: ok bro


Mara kimyaaaaaaa....... baada ya siku mbili tatu maongezi yakaendelea

CAPTAIN: Naam kaka mzigo haujaletwa. Tafadhali ileteni tu hiyo hela ya watu kaka mi napewa lawama isitoshe we ni ndugu yangu usikubali hela ndogo iharibu.

MATONYA: Gadna aiwezi kuwa ivyo_kuna mapungufu kidogo nayaweka sawa uipate kumradh sana brother

CAPTAIN: Asante

Siku ikapita tena

MATONYA: Kaka kdg kunamisteki nimecheza,, lakini wiki hii haitapita mtakuona bro nimekwama kaka lakini ntajua cha haraka

CAPTAIN: Sijaelewa kaka ni laki **** tu kunirudishia nduguyo nilipe wasanii wengine kwani kuna tatizo au

MATONYA: Bro naskia haya - skutaka hata kuku2mia msg mlitaka ni2we namzigo 2 ila kunambio kdg zimekwamisha nikaona bora kukujuza kuliko kukaa kimya bro tatizo haliwezi


CAPTAIN: Sawa we ni ndugu yangu, basi nisaidie tu irudi hiyo advance niliyokupa ili uniepushe na lawama huku kaka. Au niende kwa bimkubwa Tanga nikalalamike? Ha haaaa haaa

CAPTAIN: Fanya hivyo mdogo wangu nilitaka uwepo ktk show kwa upendo tu lakini haijawa, basi nisaidie tu kurudisha hiyo advance maana nadaiwa na wasanii wengine niwape. Au sio?

MATONYA: Kaka nibendi ndio haya yangu kwasasa nastaki kuharibu kazi yako bora niwe mkweli.. Naswala lako halitoki kichwani bro

CAPTAIN: Sawa jamaa yangu, basi nisaidie ile advance irudi ili niweke mambo sawa huku, mimi sina mdhamini mpaka leo aliyetoa hela, najitegemea tu mfukoni, naomba nirudishie nilipe wengine..Au namoro matonya we ni ndugu yangu?

MATONYA: Sawa brother mtalisimamia soon nikuweke sawa sawa brother - akuna litakalo shindikana kaka amini 2


CAPTAIN: Utarudisha lini nipe uhakika kaka, niko na shida


Mazungumzo ndio kama hayo mmeyasoma.

Mpaka blog inaingia mitamboni leo, advance haijarudishwa na hakuna jibu la kueleweka.

Wazee wa fitna kama zile tetesi ni kweli kuwa mmemzuia Matonya asifany hii show ya miaka 13 ya JayDee, na hela ameshaitumia! Kwanini msimsaidie kuirejesha mambo yaishe??

CHANZO : www. ladyjaydee.blogspot.com


Dhana mbaya na tena dhambi kubwa
 
Matonya mwenyewe mshamba tu, hana jipya nae kapata skendo ya kutokea pusti yule.
Afu iyo show ya Jide si inagongana na ya F.A au nimechanganya madesa?


uyu FA mbona anapenda kutumika sana??maana ata ugomvi wa Sugu nae aliwekwa kati kupambana nao vinega alafu ye na jide zilikuwa zinaiva sana...wasanii wetu hawa sijui walilogwa au vipi.
 
jide itabidi awe mwangalifu sana
naona wameamua kummaliza kimuziki

hata mastaa wa nchi zilizoendelea wanapata dhoruba wakati mwingine
ila wanakomaa sana hadi mambo yanakwenda sawa.

jide akitetereka kidogo tu amefilisika

Kama tunataka kumsaidia JIDE tumshauri cha kufanya na sio kuendeleza mambo ya hisia zake binafsi. Matatizo yapo kwa mashabiki usitafute mchawi.

Kama ni kuisha kimuziki yeye ndio "anainjinia" na yeye ndio atakuwa muathirika mkuu wakati sisi washangiliaji tutakaa pembeni tukiendelea na wasanii wengine.

Kama JIDE anaamini anacho kipaji ni nini kinamfanya anaweweseka ? Si afanye kazi washabiki tusikilize. Kwa hiyo wimbo wa "majanga" ukiachwa kuchezwa na clouds ndio utapoteza ladha yake ?

DADA anasumbuliwa tu na ubinafsi, Ni haki ya nani mwingine anayoipigania zaidi ya kwamba kaona maslahi yake hayajakaa sawa ndio kakimbilia kwenye vyombo vya habari. Na vita hiyo iliyojaa ubinafsi ndio inampa kudhani kwamba akipambana clouds ianguke basi furaha yake itatimia.

Kama kweli hasukumwi na hisia binafsi, Ni nini kinachomzuia kutumia huduma za media nyingine badala ya hao clouds ili aachane na malumbano yasio na maana.

Mimi ni shabiki wa JIDE lakini siungi mkono malumbano anayofanya kwa hisia zake binafsi.

Pia siungi mkono ( ingawa sijaelewa sababu haswa) kwa clouds kwenda mahakamani. Bado naamini ipo fursa ya kupata suluhu.

DADA yangu fanya kaziiiiiiiiiiiii, ACHA VISINGIZIO. Sio clouds wanaomwambia Diamond au Ommy waimbe nini ili washike mashabiki. Kazi wanazifanya wao wenyewe na wanaenda clouds kupata huduma tu kama mtu mwingine yeyote anavyoenda.
 
Back
Top Bottom