pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Alikuwa anatungiwa nyimbo na Tunda Man, alipoleta jeuri wakamtema na ndilo poromoko lake.Matonya nae zilipendwa
Alikuwa na sauti nzuri kazi kutafuna gomba tu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
vinatamani siku moja viamke vikute huyo kijana ameanguka lkn wapi? sasa vimebaki kutapatapa tu!Hahaa ivi visanii vilivo choka vinapenda kutembelea nyota ya diamond wakati ukuta umekua zilipendwa kalime mihogo kibiti ilo neno ZILIPENDWA ni hatimiliki ya maktaba ya kiswahili ka poo ulale uko hahaa diamond hebu wasaidie hao jamani sio kwa kukupania huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vinatamani siku moja viamke vikute huyo kijana ameanguka lkn wapi? sasa vimebaki kutapatapa tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akapambane weather takeSasa amekupiwa nini kwenye huo wimbo? Yeye ni mmiliki wa neno Zilipendwa?
Unajua hawa wasanii walivyosikia kuwa AY na FA wamepiga hela kupitia Tigo basi wanafikiri ni rahisi tuu basi unapewa hela...Sijaona ni wapi WCB wamekopi kutoka kwa Matonya zaidi ya kufanana kwa jina la wimbo maana melody,beat,maneno na kila kitu ni tofauti kabisa...
Sasa ana fananisha na swala la saida wakati kwa saida ni kweli walikopi kila kitu tofauti na yake ambayo ina tofauti...
Matonya mjini hakuna hela ya bure utasaga meno.
Jina sio tatizo..ila jinsi walivyoimba..kila mistari miwili zilipendwa kama Matonya alivyofanya..Kah! Huyu naye anatafuta kiki sasa na mimi nikiandika ngoma yangu nyingine beat nyingine na kuipa jina la "vaileti" nitakuwa nimemkopi? Naamini waru hawajui maana ya ku copy au ku sample. Kuna hatimiliki ya jina la wimbo?
Akikujibu nitag"Maswala ya zilipendwa zilishaimbwa na matonya"
Hii sentensi yako ina ukakasi mahali...ina maana mtu akiimba maswala ya upinzani/kilimo/kufumaniwa haruhusiwi msanii mwingine kuja kuimba masuala hayo hayo yalioimbwa na waliopita?
Nikieleweshwa nitashukuru.
Japo lyrics ni tofauti, mpangilio wa chorus na kujirudiarudia kwa neno zilipendwa ni mle mle.Mnyonge anyongwe ila haki yake apewe jamani ni kama wameendeleza wimbo wake
matonya mziki umemshinda saizi analilia issue zisizo na kichwa wala miguu