Matonya aliamsha dude ni kuhusu wimbo wa zilipendwa

Matonya aliamsha dude ni kuhusu wimbo wa zilipendwa

Hahaa ivi visanii vilivo choka vinapenda kutembelea nyota ya diamond wakati ukuta umekua zilipendwa kalime mihogo kibiti ilo neno ZILIPENDWA ni hatimiliki ya maktaba ya kiswahili ka poo ulale uko hahaa diamond hebu wasaidie hao jamani sio kwa kukupania huko
 
Hahaa ivi visanii vilivo choka vinapenda kutembelea nyota ya diamond wakati ukuta umekua zilipendwa kalime mihogo kibiti ilo neno ZILIPENDWA ni hatimiliki ya maktaba ya kiswahili ka poo ulale uko hahaa diamond hebu wasaidie hao jamani sio kwa kukupania huko
vinatamani siku moja viamke vikute huyo kijana ameanguka lkn wapi? sasa vimebaki kutapatapa tu!
 
Sasa amekupiwa nini kwenye huo wimbo? Yeye ni mmiliki wa neno Zilipendwa?
Unajua hawa wasanii walivyosikia kuwa AY na FA wamepiga hela kupitia Tigo basi wanafikiri ni rahisi tuu basi unapewa hela...Sijaona ni wapi WCB wamekopi kutoka kwa Matonya zaidi ya kufanana kwa jina la wimbo maana melody,beat,maneno na kila kitu ni tofauti kabisa...
Sasa ana fananisha na swala la saida wakati kwa saida ni kweli walikopi kila kitu tofauti na yake ambayo ina tofauti...
Matonya mjini hakuna hela ya bure utasaga meno.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akapambane weather take

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua ivo bac waimbaji wa injili wangekua katika wakati mgumu sana. Kwa sababu hakuna anaeimba asitaje yesu au mbinguni. Sasa ikiwa kila anaetaja yesu amekop ni balaa.
MATONYA PAMBANA NA KHALI YAKO DAWA YA NJAA NI KUVUMILIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kah! Huyu naye anatafuta kiki sasa na mimi nikiandika ngoma yangu nyingine beat nyingine na kuipa jina la "vaileti" nitakuwa nimemkopi? Naamini waru hawajui maana ya ku copy au ku sample. Kuna hatimiliki ya jina la wimbo?
Jina sio tatizo..ila jinsi walivyoimba..kila mistari miwili zilipendwa kama Matonya alivyofanya..
 
27a9e1c5b80534c46d6f875ea8e9da09.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
matonya mziki umemshinda saizi analilia issue zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom