Coke Zero
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,024
- 542
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa ikiingia kichwaniNjaa ni kitu kibaya sana
Matonya yuko sahihi Ku claim, kwa sababu ..diamond amechukua the whole idea ya nyimbo ya matonya, maswala ya zilipendwa ilishaimbwa na matonya and everyone knows , sasa matonya asidai haki yake??.....ivi ingekuwa diamond katoa alafu matonya akaja kuimba tena... Unadhan ingekuwajee?....matonya apewe credit zake bana
Umenikumbusha M4C ya Bwana Pombe.Sasa amekupiwa nini kwenye huo wimbo? Yeye ni mmiliki wa neno Zilipendwa?
Unajua hawa wasanii walivyosikia kuwa AY na FA wamepiga hela kupitia Tigo basi wanafikiri ni rahisi tuu basi unapewa hela...Sijaona ni wapi WCB wamekopi kutoka kwa Diamond zaidi ya kufanana kwa jina la wimbo maana melody,beat,maneno na kila kitu ni tofauti kabisa...
Sasa ana fananisha na swala la saida wakati kwa saida ni kweli walikopi kila kitu tofauti na yake ambayo ina tofauti...
Matonya mjini hakuna hela ya bure utasaga meno.
Tunatekwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Matonya nae zilipendwa
Alikuwa na sauti nzuri kazi kutafuna gomba tu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?