Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ana hati miliki na jina ZILIPENDWA?? Aache upoyoyo, aya! Tumemsikia naye, angalau WCB wamempa umenyo wa kusikika!Habari za jumapili wakuu , kwa povu hilo VP matonya yuko sawa?? Kama ni kweli wameiba idea ya matonya Hawa watu wataishia pabaya aisee
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaee mkuu wazee wa janjajanjaukweli usemwe idea, na kibwagizo ni vya matonya, hakuna kilicho fanyika cha maana kwa domo na genge lake zaidi ya uhuni tu.
Nenda kasikilize zilipendwa ya matonya na hiyo ya wcb halaf utapata jibuHow?
Ni upuuzi tu. Hajaibiwa kitu na wala asifananishe na kesi ya Saida Karoli. Kule imechukuliwa sample ya beat, vipande vya mashairi n.k. Yeye kwake kimechukuliwa kitu gani? Kusema tu idea bila kuonesha kwa kiasi gani wameiba ubunifu wake ambao upo wa kipekee hio sio sahihi. Nadhani somo la intellectual property lifundishwe vizuri kwa wasanii wasichanganye mambo.
Na mimi nasema WCB wanecopy mavazi kwa Tunda Man wa Mama Kijacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nasema WCB wanecopy mavazi kwa Tunda Man wa Mama Kijacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tulimsahau, sasa hivi tumemsikia angalau!Ni upuuzi tu. Hajaibiwa kitu na wala asifananishe na kesi ya Saida Karoli. Kule imechukuliwa sample ya beat, vipande vya mashairi n.k. Yeye kwake kimechukuliwa kitu gani? Kusema tu idea bila kuonesha kwa kiasi gani wameiba ubunifu wake ambao upo wa kipekee hio sio sahihi. Nadhani somo la intellectual property lifundishwe vizuri kwa wasanii wasichanganye mambo.