Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Mbona kapaniki kama picha ni video mpya.. tunasubiri tuione tu
Hakuna video, sema ndo kaamua kuitengenezea video, kuuwa hiyo issue.
Hata mimi nimeshangaa kusema amedhalilishwa wakati yeye anasema ni video mpya inayo toka hivi karibuni! Nilitegemea amshukuru Jide kumsaidia kupata tention ya watu kwenye wimbo wake huo mpya!
Bila shaka Matonya ana tatizo kabisa maana kama mtu aliweka picha ambayo niyakweli na ameikubali kuwa ni ya video kuna tatizo gani? aoni kama anatakiwakulipia promotion aliyo fanyiwa na Lady jaydee bure?
Matonya amenza kuchanganyikiwa kabisa!
Jide alimualikaga Matonya kwenye show yake ya Anaconda kipindi kile cha bifu na Cloudz Matonya akachomoa, na si unajua huyu mama kwa kuweka vitu moyoni & ni mtu wa visasi, ndo maana kaamua kumuanika mtandaoni
Skendo kama hiyo kama ni mimi hata kama haikuwa video itabidi nitengeneze wimbo fasta na kurekodi video nimevaa nguo hizo hizo na kulala kwenye matope ili kumaliza skendo
kwanza kampaisha mbona km video mpya!!!!
Sasa kelele za nini wakat umesha sema no video mpya khaaa hawa wasanii wetu bwana kaio kweli
Teh Teh kama ni ugomvi bora aache tuu maana sidhani kama ataweza ugomvi na Jide maana Lady Jayeed ana Degree ya ugomvi.Pumbavu kweli badala ya kuwavaa aliokuwanao LOKESHENI wakampiga na kuzisambaza anamtaka Jide!!!
Teh Teh kama ni ugomvi bora aache tuu maana sidhani kama ataweza ugomvi na Jide maana Lady Jayeed ana Degree ya ugomvi.
Sasa hapo amedhalilishwa nini? Kulewa alewe yeye, kujinyea ajinyee yeye, picha apige mwingine, lawama ampelekee hide. Huu ni upunguwani, aende mahakamani aone kama libel itasimana au defamation. Yeye kaisha kimuziki kama huyo Jide naona wafu wanatafuta kick wao kwa wao ili waendelee kuwa masikioni mwa watu pamoja hakuna cha maana wanachofanya.
Huyu jamaa kuna kipindi alidakwa na madawa ya kulevya china akakanusha! hii picha nayo anataka kukanusha tena
Muulize kilichomkuta Seif Shabban milioni 6 zimeisha kafungiwa ndani-Tunda.