Matonya amvaa Lady Jaydee, kisa picha ya udhalilishaji

Matonya amvaa Lady Jaydee, kisa picha ya udhalilishaji

Jide alimualikaga Matonya kwenye show yake ya Anaconda kipindi kile cha bifu na Cloudz Matonya akachomoa, na si unajua huyu mama kwa kuweka vitu moyoni & ni mtu wa visasi, ndo maana kaamua kumuanika mtandaoni
 
Nothing good in this world like prove someone wrong! So atuliee na atupie kichupaa kwa umma wataelewaaa tuuu
 
Mbona kapaniki kama picha ni video mpya.. tunasubiri tuione tu

Hata mimi nimeshangaa kusema amedhalilishwa wakati yeye anasema ni video mpya inayo toka hivi karibuni! Nilitegemea amshukuru Jide kumsaidia kupata tention ya watu kwenye wimbo wake huo mpya!
Bila shaka Matonya ana tatizo kabisa maana kama mtu aliweka picha ambayo niyakweli na ameikubali kuwa ni ya video kuna tatizo gani? aoni kama anatakiwakulipia promotion aliyo fanyiwa na Lady jaydee bure?

Matonya amenza kuchanganyikiwa kabisa!
 
Angekuwa Matonya kamfanyia hivyo Jide ungeandika haya? Au kwavile mnampenda sana Jaydee so kila afanyacho mnaona sawa?
 
Jide alimualikaga Matonya kwenye show yake ya Anaconda kipindi kile cha bifu na Cloudz Matonya akachomoa, na si unajua huyu mama kwa kuweka vitu moyoni & ni mtu wa visasi, ndo maana kaamua kumuanika mtandaoni

Kamuanika vipi wakati Matonya anasema ni video mpya? Si afurahie kufanyiwa promo.
 
Skendo kama hiyo kama ni mimi hata kama haikuwa video itabidi nitengeneze wimbo fasta na kurekodi video nimevaa nguo hizo hizo na kulala kwenye matope ili kumaliza skendo

Tumesha hifadhi picha na tumesha ifanyia uchunguzi tunasubiri atoe video tuone na tulinganishe na katika hili lazima ukweli ujulikane.
 
kwanza kampaisha mbona km video mpya!!!!

Ndio maana napata wasiwasi na maelezo ya matonya maana hakuna sababu ya kulalamika kama kilicho postiwa ni video mpya ...kimsingi ilibidi afurahie promo!

Mimi hii picha nimesha iangalia angle zote na nimeichunguza vilivyo ninacho subiri kuangalia hiyo video ya "Homa ya jiji" ili kupata uthibitisho. Time will tell.
 
Sasa hapo amedhalilishwa nini? Kulewa alewe yeye, kujinyea ajinyee yeye, picha apige mwingine, lawama ampelekee hide. Huu ni upunguwani, aende mahakamani aone kama libel itasimana au defamation. Yeye kaisha kimuziki kama huyo Jide naona wafu wanatafuta kick wao kwa wao ili waendelee kuwa masikioni mwa watu pamoja hakuna cha maana wanachofanya.
 
Pumbavu kweli badala ya kuwavaa aliokuwanao LOKESHENI wakampiga na kuzisambaza anamtaka Jide!!!
Teh Teh kama ni ugomvi bora aache tuu maana sidhani kama ataweza ugomvi na Jide maana Lady Jayeed ana Degree ya ugomvi.
 
Teh Teh kama ni ugomvi bora aache tuu maana sidhani kama ataweza ugomvi na Jide maana Lady Jayeed ana Degree ya ugomvi.

Huyo Jide pia anatafuta kick tu nae kapoteza mvuto nae. Akitaka aolewe na Matonya kama vipi wataendana.
 
Sasa hapo amedhalilishwa nini? Kulewa alewe yeye, kujinyea ajinyee yeye, picha apige mwingine, lawama ampelekee hide. Huu ni upunguwani, aende mahakamani aone kama libel itasimana au defamation. Yeye kaisha kimuziki kama huyo Jide naona wafu wanatafuta kick wao kwa wao ili waendelee kuwa masikioni mwa watu pamoja hakuna cha maana wanachofanya.

bora jide tonya boy yule baas tena
 
Huyu jamaa hakili hana kamadharirsha kwa lipi? Picha ime editiwa? Si imepigwa why asikabe aliempiga, kama kweli anataka kupinga udharirshaji waanze na SHIGONGO
 
Huyu jamaa kuna kipindi alidakwa na madawa ya kulevya china akakanusha! hii picha nayo anataka kukanusha tena
 
Back
Top Bottom