Niki mbishi kamwaga manyanga, Kina ferouz na daz baba hali mbaya,Juma nature nae mitungi tuuu!!! sasa huyu nae alietamba na nyimbo kali kama ANITA, ndio amefika hapa!!!
msanii wa kizazi kipya almaaruf kama matonya amekutwa vichakani akiwa hajitambui. huku ikielezwa kwamba inasemekana aliwekewa madawa kwenye kilevi alichokuwa anakunywa. Hadi sasa Matonya hajaweza kuongea mwenye kuelezea hali ya tukio kwani anaendelea na matibabu.