Matonya Azidisha Ulevi Hadi Kupoteza Fahamu..

Matonya Azidisha Ulevi Hadi Kupoteza Fahamu..

hahahahaa...eti karudisha namba...
 
dexterous hapo "amerudisha namba" sijaelewa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Huyo lazima watu wamefumua marinda. Duuuh
 
Niki mbishi kamwaga manyanga, Kina ferouz na daz baba hali mbaya,Juma nature nae mitungi tuuu!!! sasa huyu nae alietamba na nyimbo kali kama ANITA, ndio amefika hapa!!!
attachment.php
 

Attachments

  • MATONYA556.PNG
    MATONYA556.PNG
    133.8 KB · Views: 2,796
Huyo Jide kumuandika hivyo anabifu naye? Anyways, msalani kwa jamaa kulisalimika?
 
Nimesoma sehemu ila haijathibitika, eti vijana wahuni wamemtindua na kuna picha nyingine yupo kijana naye kavaa kata k iko mapajani.
 
huyo si matonya bana. mbona hafanani kabisa
 
huyo si matonya bana. mbona hafanani kabisa

Ni matonya ila ni sehemu ya picha ya video yake mpya itakayotoka soon.......... Wabongo washaanza kuongea mengi kama ya prof jay... Na dimpoz
 
Wakati wanapata hela walituona mafala sana. Wacha sie tuwaone mafala
 
Jamani Jamani ! You can't be serious ! The Matonya I know! !!!
 
Naona mazingira aliyolala ni tatanish je backstage kuna usalama kweli yai alijavunjwa
 
msanii wa kizazi kipya almaaruf kama matonya amekutwa vichakani akiwa hajitambui. huku ikielezwa kwamba inasemekana aliwekewa madawa kwenye kilevi alichokuwa anakunywa. Hadi sasa Matonya hajaweza kuongea mwenye kuelezea hali ya tukio kwani anaendelea na matibabu.
1.jpg 2.jpg


hyo picha mbona suruali ilianza kuvuliwa hivi????
 
Back
Top Bottom