Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mtakumbuka miaka ile kuingia UDSM hata Kama una Division One ya point 3 Lazima ufanye na kufaulu Matriculation Exam. Tofauti na Zama hizi za Dot.com jitu linamaliza chuo hata kuandika sentensi mbili za kiingereza halijui. Ptuu
Umeyajuaje ya UDSM na wakati ulisoma TEKU?Na matokeo ya matriculation hayakupewa uzito wowote.. hawakuwahi kuacha mtu mwenye matokeo mazuri kwa ku fail huo mtihani na pia hawakuchukua mtu mwenye matokeo mazuri ya matriculation na aliyefanya vibaya form 6. Mitihani ile ilikuwa usumbufu tu japo ingesimamiwa vizuri ingesaidia sana
Acha kupotosha wewe, marticulation ilikuwa ndio kiongozi cha kupokea wanafunzi. Enzi hizo vyuo vikuu havizidi 10 unadhan bila hivyo ingekuwaje?Na matokeo ya matriculation hayakupewa uzito wowote.. hawakuwahi kuacha mtu mwenye matokeo mazuri kwa ku fail huo mtihani na pia hawakuchukua mtu mwenye matokeo mazuri ya matriculation na aliyefanya vibaya form 6. Mitihani ile ilikuwa usumbufu tu japo ingesimamiwa vizuri ingesaidia sana
Umeyajuaje ya UDSM na wakati ulisoma TEKU?
MPJ alisoma wakati gani , mbona naye kiingereza kinampiga chenga hadi anatia aibuWakuu mtakumbuka miaka ile kuingia UDSM hata Kama una Division One ya point 3 Lazima ufanye na kufaulu Matriculation Exam. Tofauti na Zama hizi za Dot.com jitu linamaliza chuo hata kuandika sentensi mbili za kiingereza halijui. Ptuu
Kwa maelezo haya hujasoma UDSM labda unamaanisha Rwegalulira Water Institute unachanganya na UDSM kwa sababu vipo karibu.Degree zangu zote mbili nimesoma hapo..matriculation haikuwa kigezo cha kuingia chuo!.. Piga mia za matriculation lkn kama form six una three unapigwa chini anachukuliwa wa one kali mwenye 20% ya matriculation!..speaking from the experience!
Usiitaje TEKU kwenye mijadala ya kijingaUmeyajuaje ya UDSM na wakati ulisoma TEKU?
UDSM = Jalalani.Umeyajuaje ya UDSM na wakati ulisoma TEKU?
Miaka hiyo TEKU haikuwepo kabisaUmeyajuaje ya UDSM na wakati ulisoma TEKU?
Nimejikuta nacheka tuKwa maelezo haya hujasoma UDSM labda unamaanisha Rwegalulira Water Institute unachanganya na UDSM kwa sababu vipo karibu.
sasa msoto mtaani ni sifa ndugu?Acha kupotosha wewe, marticulation ilikuwa ndio kiongozi cha kupokea wanafunzi. Enzi hizo vyuo vikuu havizidi 10 unadhan bila hivyo ingekuwaje?
Marticilation hiyo hiyo ilikuwa inaweza kumsubirisha mhitimu mwaka mzima mtaani ili ajipange upya. Zama hizo nazi zimepita siku hizi mtoto anaanza la kwanza vuuuuuu hadi University bila msoto mtaani
Kukaa mtaani mwaka kabla ya Chuo Kikuu ilikuwa Ni elimu tosha kutambua Maisha halisi ya Mtanzania asiye na kazi Mtaani na hivyo Mwanafunzi akienda Chuo anakua anajua What is next, kuliko sasa Mwanafunzi anayajua maisha ya Mtaa baada ya kuhitimu Chuo Kikuuu mwishowe tunawatu weeeengi waliojaaa ulalamishi.sasa msoto mtaani ni sifa ndugu?
Pumba ya kufungia Mwaka 2020.Kukaa mtaani mwaka kabla ya Chuo Kikuu ilikuwa Ni elimu tosha kutambua Maisha halisi ya Mtanzania asiye na kazi Mtaani na hivyo Mwanafunzi akienda Chuo anakua anajua What is next, kuliko sasa Mwanafunzi anayajua maisha ya Mtaa baada ya kuhitimu Chuo Kikuuu mwishowe tunawatu weeeengi waliojaaa ulalamishi.
hahahaha eti ulalamishiKukaa mtaani mwaka kabla ya Chuo Kikuu ilikuwa Ni elimu tosha kutambua Maisha halisi ya Mtanzania asiye na kazi Mtaani na hivyo Mwanafunzi akienda Chuo anakua anajua What is next, kuliko sasa Mwanafunzi anayajua maisha ya Mtaa baada ya kuhitimu Chuo Kikuuu mwishowe tunawatu weeeengi waliojaaa ulalamishi.