Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
kwahiyo wote wanaokaa mtaani wanakula msoto?Kukaa mtaani mwaka kabla ya Chuo Kikuu ilikuwa Ni elimu tosha kutambua Maisha halisi ya Mtanzania asiye na kazi Mtaani na hivyo Mwanafunzi akienda Chuo anakua anajua What is next, kuliko sasa Mwanafunzi anayajua maisha ya Mtaa baada ya kuhitimu Chuo Kikuuu mwishowe tunawatu weeeengi waliojaaa ulalamishi.