Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah....Kayoko alikuwa fresh tu.Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote.
Simba Sc dhidi ya Yanga Sc kwenye michezo minne iliyopita:
Simba Sc 0-1 Yanga Sc (Ligi Kuu)
Yanga Sc 1-0 Simba Sc (Ngao ya Jamii)
Yanga Sc 2-1 Simba Sc (Ligi Kuu)
Simba Sc 1-5 Yanga Sc (Ligi Kuu)
Haya sasa matukio
1. Nafasi aliyokosa Ateba dakika za mapema. Hile nafasi bila shaka hadi sasa inawezekana Ateba anaijitua sana alikosaje pale wakati kabaki yeye na kipa. Mbaya zaidi alishatamba ataifunga Yanga hata kama inamabeki gani.
Bila shaka kashawajuwa na ameelewa kidogo nini maana ya dabi ya Kariakoo.
2. Offside ya Kibu. Hile bila kupepesa macho ilikuwa ni offside ya wazi. Kwasababu wakati mpira unataka kupigwa Kibu aliwahi kutoka kwenye nafasi aliyekuwepo kabla mpira aujapigwa.
3. Goli la kujifunga. Ni presha walioitengeneza Yanga kwa muda mrefu kwenye lango la Simba hadi kupelekea kujifunga kupitia mchezaji wao Kelvin Kijili na kujihisi kama anabahati mbaya leo. Licha kuna wanaodai mpira ule wakati umepigwa na Camara kutema ulikuwa kama umetoka nje lakini si kweli.
Mpira bado ulikuwa ndani ya uwanja na Max Mpia akafanya kupiga shuti fulani na wachezaji wa Simba wakajichanganya na kujiweka wenyewe.
4. Ubora mkubwa wa Gamond ameonyesha yeye anaubora wa kiasi gani na anajuwa kucheza kila mechi na mbinu yake. Hii inaonyesha amewajenga wachezaji wake kuwa bora wakati wote kwenye kila game.
La mwisho leo binafsi naona kidogo makosa hayakuwa mengi kwa Ramadhani Kayoko ambaye alikuwa mwamuzi wa kati.
Yanga ni baba wa mpira wa Tanzania kwa sasa na siku nyingine kama wakiendelea hivi wanakikosi bora sana ambacho kinaweza kukupa matokeo muda wowote ule.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Simba jitafuteni tena muda upo na ligi bado mbichi.
Yanga SC Bingwa!
Nilikuona jana kwenye press ukiwa na wazee wenzako. We ndio yule bibi aliyekaa kule myumaUpupu...
Sio ni yule babu aliekua anaongea...Nilikuona jana kwenye press ukiwa na wazee wenzako. We ndio yule bibi aliyekaa kule myuma
Ile faulo ilipaswa kuwa indirect kick kosa la refa.Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote.