Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC

Master Gamondi kila mechi anaikabili kwa mbinu zake , anaweza kuwa na mifumo Hata 50.
 
Simba waendelee kusuka kikosi chao . Kwa wachezaji walionao ni ngumu kuwafunga Yanga kwa sasa.
Mapungufu ya simba ni namba 10 , namba 2 (mbadala wa kapombe) , 11 mwenye akili kuliko huyo mutale ,na kiungo mkabaji asilia wa kusaidiana na kagoma.

Uzuri wa Yanga kila namba ina watu wawili au zaidi wenye uwezo unaolingana au kukaribiana angalau kwa 80% na zaidi.

Simba ukiachana na ile first eleven yao , waliobaki hakuna anayeweza kuingia akabadilisha mchezo .

Ushauri :
Simba iachanane na wafuatao;
[emoji117]Valentino Nouma ilete beki wa kulia wa nje mwenye uwezo mkubwa zaidi ya kapombe.
[emoji117]Kipa mmojawapo wa kigeni ilete namba 10 wa kigeni mwenye uzoefu mkubwa wa kusaidiana na Ahoua.
[emoji117] Fabrice Ngoma kama hayupo kwenye mipango ya kocha nafasi yake aletwe kiungo mkabaji asilia wa kusaidiana na Kagoma.
 
Yeah....Kayoko alikuwa fresh tu.
 
Kumbuka indirect free kick huwa inatakiwa mpira uguswe na mtu wa pili sio direct golini, hats hivyo mpira ulishatoka nje huo. Ateba kukosa kufunga inaweza kuwa ni matokeo ya nguvu za giza
 
Ile faulo ilipaswa kuwa indirect kick kosa la refa.
Penalties dhahiri zimekataliwa.
Hii ni miongoni mwa derby zinazotia kinyaa kikubwa.
Ndio maana huko CAF rank ya Simba iko juu, kule ni mpira kweli mpira. Humu ndani janja janja
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…