Katika harakati za maisha kuna kupanda na kushuka ili ufikie malengo yako.Kuna baadhi ya watu walipitia JKT labdah kwa kujitolea au kwa mujibu WA Sheria(hasa wale wanaomaliza kidato cha sita),tushirikishane matukio na visa gani ambavyo uliwahi pitia hutakuja kusahau maishani