Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Leo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama.
Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali yenye fumbo lisilo na majibu na mengine kupata majibu.
Matukio mengine yalikuwa ya huzuni sana, mengine furaha, hofu, wasiwasi mtafaruku na kutokujua nini kotafuata au nani na nini kitatatua.
Je, ni matukio yapi hutayasahau na Hutamani tena yawepo mwaka 2025, au unatamani yajirudie mwaka 2025?
Kwa heri 2024, Karibu 2025