Ni doa kubwa sana kwa utawalswa SSH, atake asitake.Kuuwawa kwa Mzee Ali Mohamed Kibao
Huu mwaka hakukuwa special sana. Niliguswa na msiba wa Sumbalawinyo, Gill BizLeo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama.
Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali yenye fumbo lisilo na majibu na mengine kupata majibu.
Matukio mengine yalikuwa ya huzuni sana, mengine furaha, hofu, wasiwasi mtafaruku na kutokujua nini kotafuata au nani na nini kitatatua.
Je, ni matukio yapi hutayasahau na Hutamani tena yawepo mwaka 2025, au unatamani yajirudie mwaka 2025?
Kwa heri 2024, Karibu 2025
Ila badge yake bado haisomi R.I.P....au uongozi hauna taarifa?Huu mwaka hakukuwa special sana. Niliguswa na msiba wa Sumbalawinyo, Gill Biz
Naona jamaa alikuwa member humu but mbona last seen yake ni 2013,ulijuaje amefariki?Huu mwaka hakukuwa special sana. Niliguswa na msiba wa Sumbalawinyo, Gill Biz
Wote waliotekwa kwa sababu za kisiasaLeo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama.
Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali yenye fumbo lisilo na majibu na mengine kupata majibu.
Matukio mengine yalikuwa ya huzuni sana, mengine furaha, hofu, wasiwasi mtafaruku na kutokujua nini kotafuata au nani na nini kitatatua.
Je, ni matukio yapi hutayasahau na Hutamani tena yawepo mwaka 2025, au unatamani yajirudie mwaka 2025?
Kwa heri 2024, Karibu 2025
Hapa watu tunafahamiana old school tulikuwa tunakutana mara kwa mara, marafiki tulifanyika ndugu, JF ilituunganishaNaona jamaa alikuwa member humu but mbona last seen yake ni 2013,ulijuaje amefariki?
Na profile yake haina title R.I.P kama tulivyozoea humu mtu akifariki,may be mods hawajapata taarifa?