Matukio Ikulu: Bernard Morrison (Toto tundu) amvalisha Medali Ahmed Ally

Matukio Ikulu: Bernard Morrison (Toto tundu) amvalisha Medali Ahmed Ally

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu Hassan.

Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha medali Ahmed Ally (msemaji wa Simba SC) waliyotunukiwa huko Algeria.

Jamaa kaikubali Yanga kiroho Safi.

Screenshot_20230605-192423.jpg
 
Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu hassan.

Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha maedali Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) waliyotunukiwa huko Alger.

Jamaa kaikubali Yanga kiroho Safi.View attachment 2647156
Scars njoo uone semaji la CAF limevalishwa shanga na linachekelea, kumbe Kinachowasumbuwa ni wivu tu.
 
Sasa mlitaka avue hilo shanga mbele ya kadamnasi??? 😆 😆 😆 😆
 
Scars njoo uone semaji la CAF limevalishwa shanga na linachekelea, kumbe Kinachowasumbuwa ni wivu tu.
Ndio hiyo ni shanga wala sinadilishi maneno

Na wala sio jambo la kujivunia, mwenzenu hapo anawakebehi ila kwakua hamjui kutafsiri mambo unaona kama ni recognition na appreciation
 
images - 2023-06-05T234950.962.jpeg

images - 2023-06-05T234936.413.jpeg

images - 2023-06-05T234817.562.jpeg

images - 2023-06-05T234758.573.jpeg

images - 2023-06-05T235119.963.jpeg

Nimejaribu kutafuta picha za washindi wa pili au watatu waliovaa medali za shaba au fedha wakiwa White House sijazipata. Kila picha nazoziona ni za mabingwa tu wakiwa na kombe lao.
 
Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu Hassan.

Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha medali Ahmed Ally (msemaji wa Simba SC) waliyotunukiwa huko Algeria.

Jamaa kaikubali Yanga kiroho Safi.

View attachment 2647156
Aahaaaaaa,
Ni mtani wake wa jadi,hakuna jipya hapo
 
Back
Top Bottom