NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
jamaa bonge la comedian 😅😅Morrison ni pasua kichwa..😂😂😂
Scars njoo uone semaji la CAF limevalishwa shanga na linachekelea, kumbe Kinachowasumbuwa ni wivu tu.Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu hassan.
Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha maedali Ahmedy Ally (msemaji wa Simba sc) waliyotunukiwa huko Alger.
Jamaa kaikubali Yanga kiroho Safi.View attachment 2647156
Ninyi tu ndo huwa mnatoana macho humu.Scars njoo uone semaji la CAF limevalishwa shanga na linachekelea, kumbe Kinachowasumbuwa ni wivu tu.
Ndio hiyo ni shanga wala sinadilishi manenoScars njoo uone semaji la CAF limevalishwa shanga na linachekelea, kumbe Kinachowasumbuwa ni wivu tu.
Ahmed kiasili huyo ni shabiki wa yanga nilishangaa tu niliposiki kachaguliwa kuwa msemaji wa simbaAhmed Ally kaenda kufanya nini hapo?
Aahaaaaaa,Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu Hassan.
Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha medali Ahmed Ally (msemaji wa Simba SC) waliyotunukiwa huko Algeria.
Jamaa kaikubali Yanga kiroho Safi.
View attachment 2647156
Sio kweli usilazimishe mambo kijana.Ahmed kiasili huyo ni shabiki wa yanga nilishangaa tu niliposiki kachaguliwa kuwa msemaji wa simba
Umemjua ahmed kwenye tv tatizo kwahiyo sio kosa lakoSio kweli usilazimishe mambo kijana.
Hata Ali kamwe ni shabiki wa Simba, ila hao wako kikazi zaidiiAhmed kiasili huyo ni shabiki wa yanga nilishangaa tu niliposiki kachaguliwa kuwa msemaji wa simba