Matukio katika Picha: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM - Aprili 30, 2021

Huwa na staajabu sana kumuona kijana yupo CCM
Ana haki ya kuwa huko. Ameelewa na kuielewa vizuri itikadi na falsafa ya Chama Cha Mapinduzi ambayo inaeleza wazi mwelekeo usiokuwa na shaka kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.
 
Ana haki ya kuwa huko. Ameelewa na kuielewa vizuri itikadi na falsafa ya Chama Cha Mapinduzi ambayo inaeleza wazi mwelekeo usiokuwa na shaka kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.
kijana yeyote aliye CCM hapendi demokrasia mla rushwa njaa mfukoni hadi tumboni
 
kijana yeyote aliye CCM hapendi demokrasia mla rushwa njaa mfukoni hadi tumboni
Hapana, huo ni mtazamo hasi ulionao. Vijana ni waadilifu na wenye shauku ya kuona nchi yao ya Tanzania inapata maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…