mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Nimepita Dodoma kwenye bus naona wahuni wamechana Picha za jpm barabarani karibu na solo LA job. Nimesita kuzipigapicha maana sikujidhania Niko Salama sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 Jiwe gizani limetua kwenye kichwa 🤣🤣🤣Pichai kama hizi ndio zinaonyesha kiasi cha ujinga watu walio nao kichwani karne hii!
Sijuwi mna fikira akili zetu wote ni sawa na za wana Lumumba
Ujisikie aibu kuleta picha za miaka mitano iliyopita!?🤣 🤣 🤣 Jiwe gizani limetua kwenye kichwa 🤣🤣🤣
Gonga meza gonga mezaUjisikie aibu kuleta picha za miaka mitano iliyopita!?
CCM na mdogo wake TANU wamekuwa wakiwatesa Watanzania kwa miaka takribani 60.CCM wanatesa watu sana