Uchaguzi 2020 Matukio katika Picha: Uchaguzi Mkuu 2020

Nimepita Dodoma kwenye bus naona wahuni wamechana Picha za jpm barabarani karibu na solo LA job. Nimesita kuzipigapicha maana sikujidhania Niko Salama sana.
 
Pichai kama hizi ndio zinaonyesha kiasi cha ujinga watu walio nao kichwani karne hii!
Sijuwi mna fikira akili zetu wote ni sawa na za wana Lumumba
🀣 🀣 🀣 Jiwe gizani limetua kwenye kichwa 🀣🀣🀣
 
Mwaka huu kuna watu wataaga siasa na kuwa wakulima wa mawese.
 
CCM wanatesa watu sana
CCM na mdogo wake TANU wamekuwa wakiwatesa Watanzania kwa miaka takribani 60.
Hatima yake sasa imefika.
Kuipigia kura CCM maana yake ni kutaka mateso zaidi kwa Watanzania.
#nomoremateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…