Karibu sana kwenye Tone ToneNilikuwa sijafikiria kuichangia kwenye kupitia Tone Tone. Ila baada ya ule upuuzi wa Msajiri wa Vyama sijui Vizazi na Vifo, KESHO NAANZA KUICHANGIA RASMI CHADEMA.
Asante sana Mkuu. Hamasisheni sana jambo hili hadi Msajili tutusa afe kwa kihoro. Mimi naanza kuchangia tone tone kesho.Karibu sana kwenye Tone Tone
Pia hakuna wasanii maarufu wanaowavutia watu kuja kuwaona wakiwa jukwaani. Bado watu wanajaa. Tafakari chukua hatuaTukisema Chadema ndiyo tumaini pekee lililobaki kwa watanzania ccm hawatuelewi......
Hakuna lori linasomba watu, wala kupita nyumba kwa nyumba kugawa skarf, wala toyo kuwekwa mafuta...wananchi kwa hiari yao wenyewe kwenda kusikiliza hotuba zenye matumaini
Bro mimi mwenzenu CHADEMA damu. Nimeandika hivyo makusudi kupima akili za watu🤣Unaelewa maana halisi ya hiki ulicho kiandika hapa!
Ni kwamba unakiri kuna mfanano wa nyomi hizi na zile za Lowasa wakati ule, au siyo!
Sasa usisahau tofauti kubwa iliyopo; kwa wakati ule, na wakati huu.
Hizi nyomi wakati huu hazitanii. Ni nyomi zilizodhamiria kuondoa uozo unaofanyika chini ya Samia.
Huo ndio ujumbe muhimu wa kuuzingatia.
Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha.
Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni nyongo tuone kiwango cha upumbavu wenu
View attachment 3348993View attachment 3348994View attachment 3348995View attachment 3348996View attachment 3348997View attachment 3348998View attachment 3348999View attachment 3349000View attachment 3349001View attachment 3349002View attachment 3349003View attachment 3349004View attachment 3349005View attachment 3349006View attachment 3349007View attachment 3349008View attachment 3349009View attachment 3349010View attachment 3349011View attachment 3349012View attachment 3349013View attachment 3349014View attachment 3349015View attachment 3349016View attachment 3349017View attachment 3349019View attachment 3349020View attachment 3349021View attachment 3349022
Si lazima uwe "CHADEMA mwenzetu"; mTanzania mwenzetu inatosha sana.Bro mimi mwenzenu CHADEMA damu. Nimeandika hivyo makusudi kupima akili za watu🤣
Kweli chadema imeisha, watu wachache hivyo? Halafu mbn mko kwenye corridor flani hivi. Arusha mjini tena unaonesha hiyo picha bila haya? Mmekwisha.Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha.
Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni nyongo tuone kiwango cha upumbavu wenu
View attachment 3348993View attachment 3348994View attachment 3348995View attachment 3348996View attachment 3348997View attachment 3348998View attachment 3348999View attachment 3349000View attachment 3349001View attachment 3349002View attachment 3349003View attachment 3349004View attachment 3349005View attachment 3349006View attachment 3349007View attachment 3349008View attachment 3349009View attachment 3349010View attachment 3349011View attachment 3349012View attachment 3349013View attachment 3349014View attachment 3349015View attachment 3349016View attachment 3349017View attachment 3349019View attachment 3349020View attachment 3349021View attachment 3349022
We dogo chadema huijui unadandia costa kwa mbele, hao watu hata 200 hawafiki, chadema imeshakufa, chadema ilikuwa 2010, 2015 hakuna uwanja ulikuwa unatosha Arusha. Hao ni watu wa Arusha? Tena wamekaa kwenye corridor za nyumba za watu? Kwisha hbr yenuKmmake na bado hamjachanganyikiwa, hiyó ndio CHADEMA CHAMA LA WANANCHI
Tukisema we ni nyumbu uwe unaelewaTukisema Chadema ndiyo tumaini pekee lililobaki kwa watanzania ccm hawatuelewi......
Hakuna lori linasomba watu, wala kupita nyumba kwa nyumba kugawa skarf, wala toyo kuwekwa mafuta...wananchi kwa hiari yao wenyewe kwenda kusikiliza hotuba zenye matumaini