Matukio kumi ya kihalifu yaliyoitikisa dunia

Tungepata picha au video inayoonyesha alivyokuwa anatembea kama kaa ingenogesha uzi balaa....
 
6/Derek 'Bertie' Smalls
Huyu alikuwa ni mwizi aliyebobea huko Uingereza katika miaka ya 1960Kabla ya miaka ya 1970 alikuwa ni mwizi mwenye jina kubwa kwenye mitaa ya jiji la London
Mwezi Februari 1970 aliongoza genge lake liitwalo Wembley Mob kuvamia na kuiba pesa kiasi cha Pauni 240,000 (wakati huo ulikuwa ni mpunga mrefu kichizi) katika benki ya Barclays kiasi ambacho ni rekodi kwa kipindi hicho
Kisha akapanda treni na kutimkia jijini Paris kusikilizia upepo
Baada ya juahidiwa kupewa kinga na mwendesha mashtaka iwapo atakubali kuelezea wizi ulivyofanyika kwaajili ya faida ya Polisi siku zijazo alikubali kurudi na kutoboa siri ambapo genge zims lolipigwa mvua ya miaka 100 jela ila yeue akasamehewa

Huyu jamaa ni msaliti kwa wenzake hana tofauti na Yuda
 
5/sabella Stewart Gardner Museum Robbers

Mwezi March 1990 wezi wawili walijifanya ni maofisa Polisi wa Boston na hivyo kuingia kiulaini katika makumbusho ya Isabella Stewart Gardner na kukomba vitu vya sanaa vyenye thamani ya USD Milioni 500 wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana
Baadaye ikatangazwa bingo ya USD 5 Milioni kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwao lakini hadi leo kimyaaaa
 
4/The School Of Turin

Mwezi Februari huko School of Turin Leonardo Nortobatolo aliongoza genge lake la kihalifu kufanya tukio la kihistoriaLeonardo Nortabartolo

Alifanikiwa kuingia kupitia dirishsni kisha kuwafungulia na wenzske watatu na kuingia kwenye sehemu ya kutunzia vito na fedha Vault baada ya kufanikiwa kuvuka viunzi kibao na hivyo kufungu[emoji767] vibox 123 kati ya 150 na kutokomeazao na vito vyenye thamani ya mabilioni ya pesa pamoja na vibunda kibao vya pesa
 
3/Baker Street Burglary

Hii ilitokea huko London 1971 ambapo genge la wahalifu lenye vifaa vya kisasa lilifanikiwa kutoboa tundu(handaki) katika sehemu ya kutunzia Vito/fedha katika Lloyds Baker Street Bank Vault na kukwapua fedha/vito vyenye thamani ya Pauni 3 Milioni (kipindi hicho ni pesa nene) na Polisi hawakufanikiwa kuwakamata
Miaka miwili baadaye wakakamatwa watu kadhaa na kuunganishwa kwenye kesi bila ushahidi wa kutosha Hii ni muvi inayozungumzia tukio hilo
 
2/The Pink Panthers
Hili ni genge la kihalifu huko Serbia ambalo Polisi wa Kimataifa(interpol) wanaamini linahusika na wizi wa vito vya madini vya thamani kubwa sehemu mbalimbali duniani kwenye matukio yaliyoweka historia
Kwa mfano mwaka 1993 waliiba dhahabu huko London yenye thamani ya Pauni 500,000
Ila pia wamefanya matukio mengi tu babu kubwa Hii ni muvi inayowaelezea japo inachekesha
 
1/Albert Spaggiari

Huyu kibaka ndo baba lao yaani kibaka kiwango cha SGR
Yeye yupo tofauti na wenzake maana pia ni tapeli aliyekubuhu
Alikuwa ni mpiga picha supastaa hivyo hakuna aliyemtilia mashtaka kana jamaa ni kibaka kama alivyo Kifesi wa Diamond
Tukio linalokumbukwa ni lile ambalo "alichora ramani" na kuwatafuta watu wa kushirikiana nae na kufanikusha wizi uliotikisa Ufaransa na dunia kwa ujumla
Alifanikisha tukio la kuiba katika Vault ya kuhifadhia vito huko Ufaransa na kisha kuacha maneno ukutani "Bila silaha,bila vurugu' hii ni sababu walipita chini kwenye shimo/handaki la mfumo wa majitaka na umeme chini na kufanikiwa kuingia ndani na kisha kutoboa ukutani kwenye chumba cha vault na kufungua viboksi takribani 400 vyenye thamani ya pesa ya Ufaransa Milioni 60


Siku aliyokamatwa wananchi wa Ufaransa walipigwa butwaa yaani ni kama vile Idrisa Sultan au Kifesi ashikwe kwenye tukio kubwa la ujambazi ]
.
.
.
.
.
.
.
Mwisho
The Bitoz
 
Alitembea kwa kuchechemea ili kuficha kimo au urefu wake..
Upo sahihi pia alichuchumaa na kuvaa mask na rundo la nguo
Matokeo yake polisi wakashindwa wanamta mtu wa aina gani na kubaki tu kujiuliza
*Mwembanba au mnene ?
*Mweupe au mweusi ?
*Nfupi au mrefu ?
 
inasemekana friday night robber atamaliza kifungo chake mwaka 2025
 
inasemekana friday night robber atamaliza kifungo chake mwaka 2025
Aje Bongo atusaidie kuiba hela pale Magogoni nasikia Mkulu analala na viburungutu
 
Hakika baada ya yuda eskariote nadhani huyu anafuata
 
Hakika baada ya yuda eskariote nadhani huyu anafuata
Yaani jamaa ni msaliti zaidi ya Yuda
Kawacjoma wenzake genge zima ili yeye abaki uraiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…