6/
Derek 'Bertie' Smalls
Huyu alikuwa ni mwizi aliyebobea huko Uingereza katika miaka ya 1960Kabla ya miaka ya 1970 alikuwa ni mwizi mwenye jina kubwa kwenye mitaa ya jiji la London
Mwezi Februari 1970 aliongoza genge lake liitwalo
Wembley Mob kuvamia na kuiba pesa kiasi cha
Pauni 240,000 (wakati huo ulikuwa ni mpunga mrefu kichizi) katika benki ya Barclays kiasi ambacho ni rekodi kwa kipindi hicho
Kisha akapanda treni na kutimkia jijini Paris kusikilizia upepo
Baada ya juahidiwa kupewa kinga na mwendesha mashtaka iwapo atakubali kuelezea wizi ulivyofanyika kwaajili ya faida ya Polisi siku zijazo alikubali kurudi na kutoboa siri ambapo genge zims lolipigwa mvua ya miaka 100 jela ila yeue akasamehewa
Huyu jamaa ni msaliti kwa wenzake hana tofauti na Yuda