Lakini hawa wazungu mi nachojua huko kwenye hizo sayari, mwezi nyota n.k itakuwa wana migodi ya madini fulani adimu, na nahisi wanafanya top scret, cause ukitafakari mabilioni ya pesa wanayotumia kuchunguza elimu ya anga sidhani inaishia tu kwamba ni interests..