Matukio muhimu sana weekend hii Tanzania

Matukio muhimu sana weekend hii Tanzania

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Ndugu zetu Wakenya,

Tunawaalika mfuatane nasi katika matukio muhimu sana ya wikiend hii hapa Tanzania. Matukio yote yatakuwa mbashara Azam sports HD, king'amuzi bora east and central Africa.

Leo 28.08.2020 jioni uwanja wa uhuru, watu zaidi ya 20,000 watakisanyika kushuhudia ndondi live kati ya Twaha Kiduku vs Dulla Mbabe. Mmoja akiwa mwenyeji wa dsm na mwingine wa mji kasoro bahari Morogoro.

Kesho 29.08.2020 itakuwa ni hekaheka za kukamilisha wiki ya mwananchi. Siku nzima itakuwa busy sana, picha na shughuli mbalimbali za kijamii. Yanga wiki hii imeishika nchi hakika.

Kesho kutwa 30.08.2020 kutakuwa na matukio makubwa mawili. Tukio la kwanza litakuwa ni mchezo mkali wa ngao ya hisani kati ya simba sc na Namungo fc, utapigwa uwanja wa sheikh Amri Abeid pale Arusha town. Kama kawaida wakazi wa Arusha, Moshi na Manyara wataujaza uwanja.

Baadae ni kuhitimisha wiki ya mwananchi ambapo Yanga Sc itatambulisha mashine mpya za kampa kampa tena, na baadae mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na timu ya Burundi. Yanga wataujaza uwanja kwa rangi za njano na kijani, rangi za madini na utajiri wa mimea wa Tanzania. Matukio yote yatakuwa mbashara.

Tunawakaribisha maana corona imewachanganya mmesahau hata burudani ni kitu gani. Jifunzeni kwa mkubwa wenu.

Picha mbalimbali tutawatumia. Stay tuned brethrens
Screenshot_20200825-174558.jpg
 
Wanandondi wa Kenya milele huwa wanawapiga kitutu mabondia kutoka Tanzania. Nyie mna miili dhaifu.
 
Wanandondi wa Kenya milele huwa wanawapiga kitutu mabondia kutoka Tanzania. Nyie mna miili dhaifu.
Kubandua tu mpaka demu akataja wazazi wake akamalizia na ndugu hamuwezi ndio muweze ngumi!. Dada zenu kila cku wanaingia barabarani sababu hamuwapigi mkia ipasavyo au ushawahi kusikia japo cku moja tu Dada wa kibongo wanaingia barabarani
 
Kenya nchi ya masikitiko hawana amsha amsha kama Tanzania

Tanzania maisha matamu sana sababu tuna entertainments nyingi yaani hatupoi na watu wapo happy sana
 
Back
Top Bottom