Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Nasema ukweli nipo Edp.loyal kimara.....nimempigia MAGUFULI NA Dr.Mkangara......ila hii yote ni hujuma zilizofanywa dhidi ya Dr.Slaa
 
Tanzania tunajinyima maendeleo wenyewe siku zote serikali isiyo na upinzani haiwezi kuwa na maendeleo. Kahama shinyanga kilichotokea kwa chadema ni mazingaumbwe kura zote zimepotea duh ccm kiboko

EL alifunika sana pale Kahama kwa kauli ya 'Mafuriko' kumbe wengine walienda kushangaa helikopta, mvi za EL na afya yake. Wananchi wakiwa mbele ya kizimba cha kura wamefanya maamuzi.
 
EL alifunika sana pale Kahama kwa kauli ya 'Mafuriko' kumbe wengine walienda kushangaa helikopta, mvi za EL na afya yake. Wananchi wakiwa mbele ya kizimba cha kura wamefanya maamuzi.
Mkuu ebu funguka bhana, Kwani kahama napo sisi ukawa tumegegedwa na misisiemu?
 
Kura za wizi, polisi kuvamia vituo vya kuhesabu kura na kuondoka na mabic unatarajia nini?
Kutisha watu, maaskari wenye silaha za Moto. Kule Kawe nimekutana na wanaccm wanashangilia hadi kuweka foleni lakini Kule Tanga jioni hii wana Cdm wamepigwa mabomu ya machozi kwa kushangilia ushindi WA Mbunge wao.
Nchi inaelekea kubaya.
 
yaani majimbo 10 tukati ya 266,mmeshalizika,subirini ngome zenu ziishe ndiyo mtajua kuwa mpango wa MUNGU lazima utimie

Usitegemee chochte ndugu, hao ccm hawakubali kushindwa kwa kura, Zanzibar kashinda seif kwa uhakika wao wanatangaza yao, kwa hio hata lowasa ashinde vipi hatangazwi hii ndo kawaida yao wenyewe kwa wenyewe wanaibia katka chaguzi zao washndwe kuiba kura za nchi nzima.
 
MUSSA ALLAN sijui huko hana hali gani naona yupo kwenye ban pole kamanda kama unanisoma.

Lowasa anashinda bila ya tabu yeyote ile tena kwa kura nyingi sana,hizi ni rasha rasha tu mvua inakuja,kura za Unguja zina matatizo ,ila tulieni ,msomeni sana Lubuva anaposema wanancchi watulie ndio kwanza majimbo kumi tu ,kubwa lijalo !
 
Tanzania tunajinyima maendeleo wenyewe siku zote serikali isiyo na upinzani haiwezi kuwa na maendeleo. Kahama shinyanga kilichotokea kwa chadema ni mazingaumbwe kura zote zimepotea duh ccm kiboko

lembeli alikalia majigambo kwenye mitaa ya kahama town,,,kishimba akampisha na kwenda vijijini ambako alijichimbia hukohuko,,,,sasa story ya mjini ikawa lembeli lembeli,kumbe kishimba anapekecha chinichini,,,kuja kushituka mbuyu chini...
 
sijakata tamaa lakini naumia sana, lowasa kasema "No alternative" baada ya hao makamanda kukamatwa, je kweli tutegemee kushinda kwa haya matokeo yanayotangazwa na tume???, kwajuwa mimi nina moyo mgumu, na nimekua kisaikolojia ntavumilia, je wale wasiokua na uwezo vkama mimi, si ndo wata give up?
 
Kura za wizi, polisi kuvamia vituo vya kuhesabu kura na kuondoka na mabic unatarajia nini?
Kutisha watu, maaskari wenye silaha za Moto. Kule Kawe nimekutana na wanaccm wanashangilia hadi kuweka foleni lakini Kule Tanga jioni hii wana Cdm wamepigwa mabomu ya machozi kwa kushangilia ushindi WA Mbunge wao.
Nchi inaelekea kubaya.
Aisee tanga bwana kama wamechukua world cup yani leo ni vurugu tu
 
Naanza name
1. Joshua nassar CDM
2.Angelina mabula CCM
3.Ester bulaya CDM
4.Ester matiko CDM
5.Vedastus mathayo CCM
6.Ahmed katani CUF
7.Godwin mollel CDM
8.Sylvester koka CCM
9.Marwa chacha ryoba CDM
10.Ridhiwan kikwete CCM
11.Mwigulu nchemba CCM
12.Abdalah chikota CCM
13.Anthony mavunde CCM
14.Shukuru kawambwa CCM
15.Zit to kabwe ACT
16.Frank mwajoka CDM
17.Rashid abdalah CUF
18.Janet mbene CCM
19.Tundu lissu CDM
20.Juma kombo CUF
21.Freeman mbowe CDM

Endeleza list
 
Back
Top Bottom