Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Tanzania tunajinyima maendeleo wenyewe siku zote serikali isiyo na upinzani haiwezi kuwa na maendeleo. Kahama shinyanga kilichotokea kwa chadema ni mazingaumbwe kura zote zimepotea duh ccm kiboko
Mkuu ebu funguka bhana, Kwani kahama napo sisi ukawa tumegegedwa na misisiemu?EL alifunika sana pale Kahama kwa kauli ya 'Mafuriko' kumbe wengine walienda kushangaa helikopta, mvi za EL na afya yake. Wananchi wakiwa mbele ya kizimba cha kura wamefanya maamuzi.
yaani majimbo 10 tukati ya 266,mmeshalizika,subirini ngome zenu ziishe ndiyo mtajua kuwa mpango wa MUNGU lazima utimie
MUSSA ALLAN sijui huko hana hali gani naona yupo kwenye ban pole kamanda kama unanisoma.
"Nyanoko"Tatizo elimu nyie ndg zangu wasukuma bado sana! Mnaangalia ukabila daa! Shida sana dudendelea gete nahene!
MUSSA ALLAN sijui huko hana hali gani naona yupo kwenye ban pole kamanda kama unanisoma.
Tanzania tunajinyima maendeleo wenyewe siku zote serikali isiyo na upinzani haiwezi kuwa na maendeleo. Kahama shinyanga kilichotokea kwa chadema ni mazingaumbwe kura zote zimepotea duh ccm kiboko
***** fisiem
Aisee tanga bwana kama wamechukua world cup yani leo ni vurugu tuKura za wizi, polisi kuvamia vituo vya kuhesabu kura na kuondoka na mabic unatarajia nini?
Kutisha watu, maaskari wenye silaha za Moto. Kule Kawe nimekutana na wanaccm wanashangilia hadi kuweka foleni lakini Kule Tanga jioni hii wana Cdm wamepigwa mabomu ya machozi kwa kushangilia ushindi WA Mbunge wao.
Nchi inaelekea kubaya.
WA kaskazini acheni ukabila wenu mnachagua fisadi kisa anatoka huko?