Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Hapa Igunga Dr Peter Kafumu kachukua kwa 92 % CCM

Baada ya Kichapo cha haja, Katibu mwenezi cdm kaelezea namna walivyokunja fungu na kuhujumu chama. Huu usaliti utamhukumu kipindi chote
 
yaaap wamebebana sana baada ya miaka mitano wajiunge woteeee viwe vyama viwili tu. coz ccm niwagumu sana


CCM ni wepesi mno tatizo ni support ya vyombo vya ulinzi vinavyowapa tafu.

Kule Zanzibar wameshashindwa mchana kweupe lakini hawataki kukubali kwa kuwa wanajua vyombo vya dola viko chini yao hivyo watawatumia kuwajeruhi na kuwauwa wale wote watakao wawekea ngumu.
 
Wadau nmekatishwa tamaa xana na matokeo ya ukawa kwa ujumla, mfano jimbo la mbozi na Vwawa cdm wanaongoza lakn Kandoro na jopo lake wamejaa wanashikiza matokeo yageuzwe.
 
mi sijaunguza kura, muda haujafika Rais Lowasa tunaemtarajia atatangazwa
 
Unaakili ndogo sana utakuwa msukuma unaleta ukabila hapa. Unadhani unachokipata toka ccm wao watakikosa kama tabu wote kama shida wote sasa kitawauma nini nyau wewe watu kama nyie ndo wazuia maendeleo

Tatizo lenu watu wa kaskazini muda wote mnawaza ukanda na ukabila tu.
 
Twaweza wametukanwa hadi huruma
 
lembeli alikalia majigambo kwenye mitaa ya kahama town,,,kishimba akampisha na kwenda vijijini ambako alijichimbia hukohuko,,,,sasa story ya mjini ikawa lembeli lembeli,kumbe kishimba anapekecha chinichini,,,kuja kushituka mbuyu chini...

Alikuja na Mbwembwe nyingi na vimsemo vyake, kumbe upepo umepuliza tumeona nyeti za bata sasa.

tutakuwa nae tukitizima bunge kupitia kwenye tv.
 
Hakuna siku iliyoniuma kama siku ile mwanza vijana walionunuliwa na fisadi lowasa wakapangwa mtaani na kumsubiria rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Magufuli wakaanza kumzomea. We ngoja lazima watuheshimu tu
Magufuli hawezi shinda huu uchaguzi nyie,subirini matokeo ya nchi nzima.
 

unajuaa ninyi ccm hamna Akili, kwa yaliyowapata hamnabudi kujiuliza, kwanini yetokea hayaa na sikushangili kushinda, ikumbukwe mnapewa miaaka mitano endapo mtashinda, bwetekeni mkishangili na kufisaadi mali za watanzania maskini, hamtaonewa aibu tena.
 
Hata zanzibar mafisiem watasema wameshinda wakati wameshindwa.
 

Mbona bado unazidi kujificha? Chama gani mmeonewa???
 
mnyanyaso ni kuzomewa ndani ya Tshirt ya kijani na sio watoto kukaa chini wakiwa masomoni...sio akina mama kulala mzungu wa nne hospitali....sio upungufu mkubwa wa ambulance...we've got a long way to go:hurt::hurt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…