Nkanaga
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 653
- 619
Hapa Igunga Dr Peter Kafumu kachukua kwa 92 % CCM
Baada ya Kichapo cha haja, Katibu mwenezi cdm kaelezea namna walivyokunja fungu na kuhujumu chama. Huu usaliti utamhukumu kipindi chote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Igunga Dr Peter Kafumu kachukua kwa 92 % CCM
yaaap wamebebana sana baada ya miaka mitano wajiunge woteeee viwe vyama viwili tu. coz ccm niwagumu sana
32.temeke cdm
Hehe.... watakaoshinda ni watawala wewe utabaki mtaani tuu usubiri kupewa tshirt mwaka 2020 wakutumie tena.
Unaakili ndogo sana utakuwa msukuma unaleta ukabila hapa. Unadhani unachokipata toka ccm wao watakikosa kama tabu wote kama shida wote sasa kitawauma nini nyau wewe watu kama nyie ndo wazuia maendeleo
lembeli alikalia majigambo kwenye mitaa ya kahama town,,,kishimba akampisha na kwenda vijijini ambako alijichimbia hukohuko,,,,sasa story ya mjini ikawa lembeli lembeli,kumbe kishimba anapekecha chinichini,,,kuja kushituka mbuyu chini...
Magufuli hawezi shinda huu uchaguzi nyie,subirini matokeo ya nchi nzima.Hakuna siku iliyoniuma kama siku ile mwanza vijana walionunuliwa na fisadi lowasa wakapangwa mtaani na kumsubiria rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Magufuli wakaanza kumzomea. We ngoja lazima watuheshimu tu
Magufuli hawezi shinda huu uchaguzi nyie,subirini matokeo ya nchi nzima.
Mkuu ebu funguka bhana, Kwani kahama napo sisi ukawa tumegegedwa na misisiemu?
Mimi ni miongoni ya watu ya wachache waliowah kuzomewa sana kisa tu nimetinga uzi wangu wa njano wa kile chama chetu.Mtaani tulikosa raha, barabarani pia, Mungu saidia heshima yetu irudi mtaani maana tumenyanyasika sana,watesi wetu wakuu wakiwa wamachinga, bodaboda na mama ntilie.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
Mimi ni miongoni ya watu ya wachache waliowah kuzomewa sana kisa tu nimetinga uzi wangu wa njano wa kile chama chetu.Mtaani tulikosa raha, barabarani pia, Mungu saidia heshima yetu irudi mtaani maana tumenyanyasika sana,watesi wetu wakuu wakiwa wamachinga, bodaboda na mama ntilie.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
CUF ndio mnufaika mkuu wa UKAWA, Lipumba kakimbia mafanikio.