Matukio na safari ya Kikosi cha Simba kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC

IMG_4841.jpeg

Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) mwaka 2025 dhidi ya RS Berkane.

IMG_4837.jpeg
Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 17, 2025, saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania.

IMG_4842.jpeg

Timu hiyo ikitua uwanja wa ndege tayari kwa safari hiyo muhimu ambayo inawapa nafasi ya kutafuta historia mpya katika soka la Tanzania.

IMG_4838.jpeg

IMG_4840.jpeg
Wachezaji na benchi la ufundi walionekana wakiwa na ari kubwa.

IMG_4843.jpeg

Simba SC inakabiliwa na changamoto kubwa dhidi ya timu kutoka Morocco, lakini matumaini ya Watanzania wengi yapo kwa kikosi hicho kuleta kombe nyumbani.

Mei 14
Kikosi cha Simba kimetua salama jijini Casablanca

1747201975370.png

1747202036698.png

1747202065050.png

Kikosi cha Simba Sports Club, kitaenda katika mji wa Berkane ambao utachezwa mechi, Ijumaa ya Mei 16 majira ya asubuhi.
IMG_4864.jpeg

Kikosi kimeweka Kambi katika mji wa Casablanca na Kitakaa Casablanca kwa siku mbili siku ya leo pamoja na kesho halafu Ijumaa asubuhi safari ya kwenda Berkane.

IMG_4870.jpeg

Klabu ya Simba imefanya mazoezi yake ya kwanza leo kwenye mji wa Casablanca, Morocco ikiandaa dozi ya Berkane fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) utakaopigwa Mei 17 kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane kuanzia saa 4:00 Usiku.

IMG_4871.jpeg

==

Utabiri wa Fainali ya CAFCC: Berkane 55%, Simba 45%

Kwa mujibu wa mwenendo wa timu, RS Berkane wana nafasi kubwa zaidi ya kutwaa taji kutokana na uzoefu wao (mabingwa mara mbili) na kikosi chenye nidhamu na mbinu imara.

Hata hivyo, Simba SC wako kwenye kiwango kizuri msimu huu na wakitumia vizuri mechi za nyumbani na kudhibiti presha ugenini, wanaweza kushangaza na kuchukua ubingwa kwa mara ya kwanza.

Wewe unaipa nafasi timu ipi zaidi?
 
Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC

Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) mwaka 2025 dhidi ya RS Berkane.

Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 17, 2025, saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania.

Timu hiyo ikitua uwanja wa ndege tayari kwa safari hiyo muhimu ambayo inawapa nafasi ya kutafuta historia mpya katika soka la Tanzania.

Wachezaji na benchi la ufundi walionekana wakiwa na ari kubwa.

Simba SC inakabiliwa na changamoto kubwa dhidi ya timu kutoka Morocco, lakini matumaini ya Watanzania wengi yapo kwa kikosi hicho kuleta kombe nyumbani.

Mei 14
Kikosi cha Simba kimetua salama jijini Casablanca

Utabiri wa Fainali ya CAFCC: Berkane 55%, Simba 45%

Kwa mujibu wa mwenendo wa timu, RS Berkane wana nafasi kubwa zaidi ya kutwaa taji kutokana na uzoefu wao (mabingwa mara mbili) na kikosi chenye nidhamu na mbinu imara.

Hata hivyo, Simba SC wako kwenye kiwango kizuri msimu huu na wakitumia vizuri mechi za nyumbani na kudhibiti presha ugenini, wanaweza kushangaza na kuchukua ubingwa kwa mara ya kwanza.

Wewe unaipa nafasi timu ipi zaidi?
Ww ushasema unatuuliza sisi tuharibu utabiri wako??
 
Kila la heri Rs Berkane.
Nb: Tuvumiliane ndugu zangu wa Mbereko Fc. Kutesa kwa zamu.
Haya Timu 8 FC....hatuna haja na heri zako...kwa sbb hizo hizo za kuitakia timu pinzani ushindi ndo zimetufikisha hapa leo..ni bora mara elfu mwiko nyuma wakuombee ushindwe maana huwa virse versa..
 
Back
Top Bottom