Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mtabana sana Makende mwaka huu!, huu ni mwaka wa Simba.Kila la heri Rs Berkane.
Nb: Tuvumiliane ndugu zangu wa Mbereko Fc. Kutesa kwa zamu.
Chawa wa GSM Wewe Mgosi wa NdimaKila la heri Rs Berkane.
Nb: Tuvumiliane ndugu zangu wa Mbereko Fc. Kutesa kwa zamu.
Mtabana sana Makende mwaka huu!, huu ni mwaka wa Simba.
Ila nimetoa tahadhari mapema. Tuvumiliane tu kwenye hiki kipindi kigumu mtakachopitia.Chawa wa GSM Wewe Mgosi wa Ndima
Semeni kabisa Rs.Berkane ni waarabu og au wapemba?π€£Ila nimetoa tahadhari mapema. Tuvumiliane tu kwenye hiki kipindi kigumu mtakachopitia.
Mimi nawaombea njaa tu. Nothing more. Na ifahamike fika sijawahi kuwa mzalendo kwenye mambo ya hovyo.Semeni kabisa Rs.Berkane ni waarabu og au wapemba?π€£
Ww ushasema unatuuliza sisi tuharibu utabiri wako??Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC
Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) mwaka 2025 dhidi ya RS Berkane.
Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 17, 2025, saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania.
Timu hiyo ikitua uwanja wa ndege tayari kwa safari hiyo muhimu ambayo inawapa nafasi ya kutafuta historia mpya katika soka la Tanzania.
Wachezaji na benchi la ufundi walionekana wakiwa na ari kubwa.
Simba SC inakabiliwa na changamoto kubwa dhidi ya timu kutoka Morocco, lakini matumaini ya Watanzania wengi yapo kwa kikosi hicho kuleta kombe nyumbani.
Mei 14
Kikosi cha Simba kimetua salama jijini Casablanca
Utabiri wa Fainali ya CAFCC: Berkane 55%, Simba 45%
Kwa mujibu wa mwenendo wa timu, RS Berkane wana nafasi kubwa zaidi ya kutwaa taji kutokana na uzoefu wao (mabingwa mara mbili) na kikosi chenye nidhamu na mbinu imara.
Hata hivyo, Simba SC wako kwenye kiwango kizuri msimu huu na wakitumia vizuri mechi za nyumbani na kudhibiti presha ugenini, wanaweza kushangaza na kuchukua ubingwa kwa mara ya kwanza.
Wewe unaipa nafasi timu ipi zaidi?
Haya Timu 8 FC....hatuna haja na heri zako...kwa sbb hizo hizo za kuitakia timu pinzani ushindi ndo zimetufikisha hapa leo..ni bora mara elfu mwiko nyuma wakuombee ushindwe maana huwa virse versa..Kila la heri Rs Berkane.
Nb: Tuvumiliane ndugu zangu wa Mbereko Fc. Kutesa kwa zamu.
Tutainua kwapa mkuu.Ila nimetoa tahadhari mapema. Tuvumiliane tu kwenye hiki kipindi kigumu mtakachopitia.
Mpaka sasa mmebadili mabwana wangapi?Kila la heri Rs Berkane.
Nb: Tuvumiliane ndugu zangu wa Mbereko Fc. Kutesa kwa zamu.
Nadhani ungejiuliza wewe mwenyewe na hao mabwana zako.Mpaka sasa mmebadili mabwana wangapi?