The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT.
Katika hali ya kawaida ukiyatafakari Maisha ya watanzania chini ya utawala wa CCM halafu leo kundi kubwa la watu wajinga na wenye Njaa linawakana watanzania kwa ubinafsi na roho mbaya zao na kukubali kutumika na CCM ambayo imeua kila kitu hapa nchini ni jambo la kusikitisha sana.
Hawa wanaojinadi Chauma nawaona ni wasaliti wa haki za watanzania na wanaenda kutumika vibaya sana, kwa sababu baada ya chaguzi nyingi za kukandamizana na upinzani kuuonewa mwaka huu waliamua wabunge wapatikane kwa kura za wananchi..Badala yake usaliti wenye roho mbaya, ubinafsi na chuki ndani yake umetengezwa kuendeleza ukiukwaji wa demokrasia na haki za binadamu Nchini.
Kitendo Cha Hawa Njaa 55 na chauma kuingia makubaliano kwa makusudi nawaona wanajaribu kukwamisha ndoto za watanzania kuwa na tume huru ya uchaguzi ambao ni usaliti Mkubwa kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Matumaini yangu ni kwamba dunia ishabadirika watu wanajua michakato yote na pengine huenda wasipate kuungwa mkono na watu wengi japo pesa chafu kutoka CCM ambzao ni kodi za watanzania na wafadhili wa CCM (Wawekezaji wakubwa) inatumika kuwapa nguvu.
Mungu ibariki Tanzania iondokane na utawala dhalimu wa CCM.
Amina.