MATUKIO NJE YA UWANJA, FISI ALIEINGIZWA NA SIMBA AZUA BALAA

Yaani fisi kabisa tena saa sita mchana uwanja wa mpira, duuu hapana hii haikubaliki
 
Hajaingia uwanjani

Na ndio maana reporter kaweka heading "matukio nje ya uwanja"
Mkuu picha inaongea kuliko maneno yako.

Mi sijui kusoma au wewe ndio hujui kusoma?
 
Unyamwezi kutembea na hilo jibwa la kichawi, mbona unapungukiwa sana siku hizi
Wachawi hawawezi kuwa na kila kitu kizuri

Unataka mpaka umuone snoop doggy kaongozana nalo ndo ulipe thamani?

Afu huyo mbwa sio kama zenu huko uswahilini mnaziita majina ya pegi, hilo ni jibwa la kitasha linaitwa kelvin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…