Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa fisi angekua issue,lakini mbwa kuingia ndani ya uwanja tena hapo karibu na keko na temeke Yard ni nyingi,walinzi wengi wa hayo magodown huwa kuna mbwa koko wanazurula tu.Sawa kafikaje?
Kafikaje kwani katokea kwenu?Sawa kafikaje?
Hajaingia uwanjaniAmeingiaje uwanjani?
Sasa Simba wamehama kutoka kwenye paka sasa ni zamu ya mbwa.Huyu ndio mnyama anaetrend mda huu yupo uwanjani anazunguka uwanja mzima inasemekana ameletwa na timu wenyeji daah kwa hali hii tutaona mengi leo[emoji1][emoji1]View attachment 2040496View attachment 2040497
Unyamwezi kutembea na hilo jibwa la kichawi, mbona unapungukiwa sana siku hiziUnauliza kiumbe chenye miguu inayofanya kazi kimefikaje hapo?
We huelewi siku hizi watu kutembea na mbwa ni unyamwezi?
Sio fisi ni mbwa wakuu mbona mnatusingizia mambo ambayo hayapo?Hii siyo ya kufumbia macho, yaani simba wanai giza kabisa fisi uwanjani???
Mkuu usitumie nguvu kuwajibu hao raiaSio fisi ni mbwa wakuu mbona mnatusingizia mambo ambayo hayapo?
Mkuu picha inaongea kuliko maneno yako.Hajaingia uwanjani
Na ndio maana reporter kaweka heading "matukio nje ya uwanja"
Kama mafala vile wanavyojitoa ufahamu hapaUnauliza kiumbe chenye miguu inayofanya kazi kimefikaje hapo?
We huelewi siku hizi watu kutembea na mbwa ni unyamwezi?
Wachawi hawawezi kuwa na kila kitu kizuriUnyamwezi kutembea na hilo jibwa la kichawi, mbona unapungukiwa sana siku hizi
Huyu ndio mnyama anaetrend mda huu yupo uwanjani anazunguka uwanja mzima inasemekana ameletwa na timu wenyeji daah kwa hali hii tutaona mengi leo[emoji1][emoji1]View attachment 2040496View attachment 2040497
We mtoto mlaini wa utopolo huyo sio fisiHii siyo ya kufumbia macho, yaani simba wanai giza kabisa fisi uwanjani???
Mchekeshaji huyo ajui fisiFisi yukowap?
Fisi wa aina gani huyo? Tangu lini mbwa akawa fisi!Huyu ndio mnyama anaetrend mda huu yupo uwanjani anazunguka uwanja mzima inasemekana ameletwa na timu wenyeji daah kwa hali hii tutaona mengi leo[emoji1][emoji1]View attachment 2040496View attachment 2040497
Fisi yukowap?
Hata kama ni paka amefikaje hapo kama sio ushirikina huo