nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori.
Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza magari mengine na kuanza kushughulikia la kwake.
Ikawa asubuhi ikawa usiku....siku ya siku tajiri kashusha malori mapya.
Mzee ndio anakuwa wa kwanza kuambiwa achague lori analolitaka....halafu wengine tunarushiwa funguo.
Iwapo mzee hajafika kazini hakuna dereva anayethubutu kushika gari yake na wakati huo kuna order za kwenda kupakia na kuna madereva wapo benchi.
Na tajiri akiulizwa anasema ni sawa hakuna mtu wa kugusa gari ya mzee.
Hapo VP.