Hapo red nilitegemea labda unasema escape!Naombeni dondoo za jinsi ya kuchukua tahadhari au hatua za kuchukua
pale unapojikuta eneo ambalo risasi zinapigwa kwa karibu na ulipo mfano nyumbani au eneo la kazi
Silengi eneo lenye vita.
Nataka kitu kama 'how to access risks na hatua za kuchukua'
Mbona unauliza swali hilo bro?tuambie kama kuna lolote linalokuja katika jamii yetu.Maana tunapoelekea we acha tu.lakini sio ishu fungua google utapata jibu.
Hapo red nilitegemea labda unasema escape!
Kama alivyokueleza mdau mmoja hapo juu, njia salama kabisa kuepuka risk hiyo ni kulala chini flat, na kutegemeana na eneo lenyewe unaweza kutambaa kwa tumbo.
Kama mazingira hayaruhusu kulala na kutambaa, basi waweza kimbia kwa kuepuka msitari mnyoofu, yaani kukimbia zig-zag!