Matukio ya fujo za washabiki wa Yanga ni ya aibu kwenye soka Yakemewe kwa nguvu

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Ni mara ya pili leo baadhi ya wahuni kutoka mashabiki wa utopolo wamewafanyia fujo wenzao wa Simba waliokwenda kuangalia mechi.

Ninalaani vikali vitendo hivyo na ninaomba mamlaka ziingilie kati na kuchukua hatua mapema,vinginevyo kuna vita ya kwanza ya mpira inaweza kutokea Tanzania.Maana hii tabia inataka kuzoeleka na inaonekana inachekewa chekewa na wahusika.Ila kumbukeni,Simba wakianza kulipa kisasi,sina uhakika hali itakuwaje
 
Wapokonywe point tatu.
 
Vibweka na vitimbi vya team vijora[emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Kwani imekuwaje? Kuna fujo nyingine zaidi ya Ile ya kwamkapa?
 
Dah hawa watopolo utafikiri wanavita na Simba
 
Mashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu
Hakika wewe sio muungwana kumbuka kila mtu Ana ingia kwa pesa yake uwanjan alfu kingine mpira sio vita mala nyingi sana mashabiki wa yanga wanakata kwa simba na hakuna wa nacho fanywa so mpira sio vita ya ngumi kiongoz
 
Ni ushamba wa mashabiki wa miaka ya sasa, Miaka ya nyuma pale shamba la bibi ukiacha jukwaa kuu ambalo lina sehemu za mashabiki wa Simba na yanga eneo lote lililo kua lime baki karibu 80% ya mashabiki walikua wamekaa kwa kuchanganyika Simba na Yanga na magoli yakifungwa walikua wakishangilia.
 
Mashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu
Acha upumbavu wako yanga wana jukwaa lao? Kinachokufanya ukae jukwaa fulan ni kiingilio ulicholipa na wala sio timu unayoishabikia. Mara ngapi mashabiki wa yanga wanakaa jukwaa moja na mashabiki wa simba na huoni mashabiki wa simba wakiwafanyia vurugu.
Kinachowatesa mashabiki wa yanga ni timu yao kuwa mbovu kiasi cha kudhani ubovu wa timu yao unasababishwa na mashabiki wa simba.
Yanga msiipobadilika mtaicost team yenu either mechi zake zichezwe bila mashabiki au mnyang'anywe points.
Mark my words.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
mashabiki wa mikia mna nguvu ya mdomoni tuu tenna nyuma ya keyboards , ni watalaam wa kuchokoza ila bahati yenu mBio tuu ndizo zinazo waokoa siku zote, kwenye mechi ya wanannchi mlifata nini ??
 
Michuano ya klabu bingwa afrika inakuja tutawaona na kiherehere chenu cha kushangilia timu za wageni tutakavyowashugulikia
Nimewwaza kama wewe, klabu Bingwa kuna hatari ya kukutana na Maiti ya wanaUtopolo pale kwa Mkappa. Nashauri TFF wachukue hatua kali ikiwemo kuwafungia mashabiki kadhaa ya Utopolo kwenda Uwanjan kwa muda fulani afadhali itawapa imani Simba SC vinginevyo kuna Visasi vibaya sana sana vitafuata soon. Msije mkaona Wanasimba wametulia mkajua wamesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…