kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ni mara ya pili leo baadhi ya wahuni kutoka mashabiki wa utopolo wamewafanyia fujo wenzao wa Simba waliokwenda kuangalia mechi.
Ninalaani vikali vitendo hivyo na ninaomba mamlaka ziingilie kati na kuchukua hatua mapema,vinginevyo kuna vita ya kwanza ya mpira inaweza kutokea Tanzania.Maana hii tabia inataka kuzoeleka na inaonekana inachekewa chekewa na wahusika.Ila kumbukeni,Simba wakianza kulipa kisasi,sina uhakika hali itakuwaje