Siku ya Simba day, tulimshuhudia shabiki mmoja tu wa Yanga akiwa katikati ya maelfu ya washabiki wa Simba. Mbona hakufanyiwa fujo na alicheki game kwa amani tu.Mashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu
dua la kuku tuu plus kelele za chura hizi, nyie nguvu yenu ipo mdomoni na kwenye kuhonga marefa au kununua mechi kwisha, huko kwenye 'mkono' yaani mta pukutika adi vizazi vyenu vipoteeNimewwaza kama wewe, klabu Bingwa kuna hatari ya kukutana na Maiti ya wanaUtopolo pale kwa Mkappa. Nashauri TFF wachukue hatua kali ikiwemo kuwafungia mashabiki kadhaa ya Utopolo kwenda Uwanjan kwa muda fulani afadhali itawapa imani Simba SC vinginevyo kuna Visasi vibaya sana sana vitafuata soon. Msije mkaona Wanasimba wametulia mkajua wamesahau
Ngoja muone mapigo ya simba akiamua kurudisha tumekuwa wastaarabu muda mrefu hayo madawa yenu mnayovuta jangwani yatawatokea njianidua la kuku tuu plus kelele za chura hizi, nyie nguvu yenu ipo mdomoni na kwenye kuhonga marefa au kununua mechi kwisha, huko kwenye 'mkono' yaani mta pukutika adi vizazi vyenu vipotee
Yanga hawana jukwaa wala uwanja waoMashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu
Mashabiki wa Tako Wazi SC wakiendelea kumwendekeza mbwabwajaji wao yule mzungu pori kwa kandia zake za kishari, msilaumu ya Yanga kwa yatakayowakuta! mtateseka sana.Nimewwaza kama wewe, klabu Bingwa kuna hatari ya kukutana na Maiti ya wanaUtopolo pale kwa Mkappa. Nashauri TFF wachukue hatua kali ikiwemo kuwafungia mashabiki kadhaa ya Utopolo kwenda Uwanjan kwa muda fulani afadhali itawapa imani Simba SC vinginevyo kuna Visasi vibaya sana sana vitafuata soon. Msije mkaona Wanasimba wametulia mkajua wamesahau
Mkiendelea na maneno yenu machafu katika mechi zetu lazima tuwashushie mkong'ong'oto wa kutosha,Ni mara ya pili leo baadhi ya wahuni kutoka mashabiki wa utopolo wamewafanyia fujo wenzao wa Simba waliokwenda kuangalia mechi.
Ninalaani vikali vitendo hivyo na ninaomba mamlaka ziingilie kati na kuchukua hatua mapema,vinginevyo kuna vita ya kwanza ya mpira inaweza kutokea Tanzania.Maana hii tabia inataka kuzoeleka na inaonekana inachekewa chekewa na wahusika.Ila kumbukeni,Simba wakianza kulipa kisasi,sina uhakika hali itakuwaje
dua la kuku tuu plus kelele za chura hizi, nyie nguvu yenu ipo mdomoni na kwenye kuhonga marefa au kununua mechi kwisha, huko kwenye 'mkono' yaani mta pukutika adi vizazi vyenu vipotee
Tatizo mikia mna viherehere. Mnajijua mna midomo mirefu,kunyamaza hamuwezi. Mnaingia uwanjani mnakaa katikati ya wananchi. Halafu mnawashwa midomo na kuropokwa naneno kama Haji Manara, mlitegemea nini!!!?Hakika wewe sio muungwana kumbuka kila mtu Ana ingia kwa pesa yake uwanjan alfu kingine mpira sio vita mala nyingi sana mashabiki wa yanga wanakata kwa simba na hakuna wa nacho fanywa so mpira sio vita ya ngumi kiongoz
Ni asiye kuwa na akili kama wewe ndiye atasapoti huu Uzwazwa wako.Kwamba mtakuwa mkiwapiga mashabiki wa Simba,unafikiri wataendelea kukaa kimya?.Siku watakaposema uvumilivu sasa basi,Jua nchi itaingia kwenye machafuko.Hatua ya kwanza itakuwa kukataza washabiki wote,si wa Yanga wala Ihefu watakaoruhusiwa kuingia uwanjani.Itaenda hivyo hadi kwenye vilabu vidogo.Hatua ya pili wenye Viwanja vyao ambavyo vingi ni Vya CCM watavifunga na hamtakuwa na uwezo wa kuwashtaki CCM kwa FIFA,maana viwanja ni vyao,.Hatua ya mwisho kabisa ni kuvifuta vilabu vya Simba na Yanga,kwenye baraza la Michezo la Taifa,ambao ndiyo serikali yenyewe.Na hata muende FIFA haitasaidia kitu.Tatizo mikia mna viherehere. Mnajijua mna midomo mirefu,kunyamaza hamuwezi. Mnaingia uwanjani mnakaa katikati ya wananchi. Halafu mnawashwa midomo na kuropokwa naneno kama Haji Manara, mlitegemea nini!!!?
Binafsi naona wapigwe tuu
Wewe Mshana Jr soka huliwezi, wewe una kona yako.Vibweka na vitimbi vya team vijora[emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Hao wanavyoongea utafikiri wana nguvu siku wakipata mkong'oto ndio atajua kuhusu maneno yake yanamaanisha niniNi asiye kuwa na akili kama wewe ndiye atasapoti huu Uzwazwa wako.Kwamba mtakuwa mkiwapiga mashabiki wa Simba,unafikiri wataendelea kukaa kimya?.Siku watakaposema uvumilivu sasa basi,Jua nchi itaingia kwenye machafuko.Hatua ya kwanza itakuwa kukataza washabiki wote,si wa Yanga wala Ihefu watakaoruhusiwa kuingia uwanjani.Itaenda hivyo hadi kwenye vilabu vidogo.Hatua ya pili wenye Viwanja vyao ambavyo vingi ni Vya CCM watavifunga na hamtakuwa na uwezo wa kuwashtaki CCM kwa FIFA,maana viwanja ni vyao,.Hatua ya mwisho kabisa ni kuvifuta vilabu vya Simba na Yanga,kwenye baraza la Michezo la Taifa,ambao ndiyo serikali yenyewe.Na hata muende FIFA haitasaidia kitu.
Usije ukafikiri Vita hiyo ya Simba na Yanga ikianza itaishia Dar peke yake,itasambaa nchi nzima.Kwa maana hiyo serikali haiwezi kuwa wajinga kuona watu wanauana na hasa vijana,eti kisa Ushabiki wa Vilabu vya mpira.Itavifutilia mbali
Nguvu ya simba ipo midomoni. Na kama huamini jichanganyeni katikati ya wananchi kisha mlete maneno yenu ya kwenye kanga,mtajua nani mwenye akiliNi asiye kuwa na akili kama wewe ndiye atasapoti huu Uzwazwa wako.Kwamba mtakuwa mkiwapiga mashabiki wa Simba,unafikiri wataendelea kukaa kimya?.Siku watakaposema uvumilivu sasa basi,Jua nchi itaingia kwenye machafuko.Hatua ya kwanza itakuwa kukataza washabiki wote,si wa Yanga wala Ihefu watakaoruhusiwa kuingia uwanjani.Itaenda hivyo hadi kwenye vilabu vidogo.Hatua ya pili wenye Viwanja vyao ambavyo vingi ni Vya CCM watavifunga na hamtakuwa na uwezo wa kuwashtaki CCM kwa FIFA,maana viwanja ni vyao,.Hatua ya mwisho kabisa ni kuvifuta vilabu vya Simba na Yanga,kwenye baraza la Michezo la Taifa,ambao ndiyo serikali yenyewe.Na hata muende FIFA haitasaidia kitu.
Usije ukafikiri Vita hiyo ya Simba na Yanga ikianza itaishia Dar peke yake,itasambaa nchi nzima.Kwa maana hiyo serikali haiwezi kuwa wajinga kuona watu wanauana na hasa vijana,eti kisa Ushabiki wa Vilabu vya mpira.Itavifutilia mbali
Na wapigweeeeeeeeeeMashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu
Hamna ubavu wa kufanya lolote,Mikia nyieNimewwaza kama wewe, klabu Bingwa kuna hatari ya kukutana na Maiti ya wanaUtopolo pale kwa Mkappa. Nashauri TFF wachukue hatua kali ikiwemo kuwafungia mashabiki kadhaa ya Utopolo kwenda Uwanjan kwa muda fulani afadhali itawapa imani Simba SC vinginevyo kuna Visasi vibaya sana sana vitafuata soon. Msije mkaona Wanasimba wametulia mkajua wamesahau
Sio uwanjani?Nguvu ya simba ipo midomoni.
Wanajitapa kwenda kuiroga Yanga ifúngweMashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu
Are you serious? Mbona mashabiki wa Utopolo wanahudhuria kwenye game za simba lakini wanakaa kwa Amani wanafurahi wote, huku kwenye vibanda umiza tunakaa wote haijarishi inacheza simba au Yanga.Mashabiki wa Mikia wana kiherehere sana,nini kinawafanya waende kwenye jukwaa la Yanga,wapigwe tu