Ni asiye kuwa na akili kama wewe ndiye atasapoti huu Uzwazwa wako.Kwamba mtakuwa mkiwapiga mashabiki wa Simba,unafikiri wataendelea kukaa kimya?.Siku watakaposema uvumilivu sasa basi,Jua nchi itaingia kwenye machafuko.Hatua ya kwanza itakuwa kukataza washabiki wote,si wa Yanga wala Ihefu watakaoruhusiwa kuingia uwanjani.Itaenda hivyo hadi kwenye vilabu vidogo.Hatua ya pili wenye Viwanja vyao ambavyo vingi ni Vya CCM watavifunga na hamtakuwa na uwezo wa kuwashtaki CCM kwa FIFA,maana viwanja ni vyao,.Hatua ya mwisho kabisa ni kuvifuta vilabu vya Simba na Yanga,kwenye baraza la Michezo la Taifa,ambao ndiyo serikali yenyewe.Na hata muende FIFA haitasaidia kitu.
Usije ukafikiri Vita hiyo ya Simba na Yanga ikianza itaishia Dar peke yake,itasambaa nchi nzima.Kwa maana hiyo serikali haiwezi kuwa wajinga kuona watu wanauana na hasa vijana,eti kisa Ushabiki wa Vilabu vya mpira.Itavifutilia mbali