Matukio ya fujo za washabiki wa Yanga ni ya aibu kwenye soka Yakemewe kwa nguvu

Muda uliotumia kuandika hii pumba ako katecno kako akajashika moto kweli,angalia hizo video uone washabiki wa mikia walichowafanyia washabiki wa Yanga,sema kwa uzembe wa idara ya habari ya Yanga uwa hawayaripoti
Akili zako zimekaa mat@koni we nyang'au. Unahisi tecno sio simu au? Ndo nyie mnashinda njaa mwaka mzima ili ununue iphone refurbished uwatambie washamba wenzio. Grow up kijana those poor mentalities u have won't help you unless you change.
 
Ivi unafatilia match za bongo kwel ,,game za simba hao shabiki wa yanga mbona tunakaa nao jukwaa moja na wanavaa vijoro vyao na tunawahesh fresh,,Vurugu haiwez kukusaidia kubeba ubingwa chamsing cheza soko safii na matunda utayaona
 
Akili zako zimekaa mat@koni we nyang'au. Unahisi tecno sio simu au? Ndo nyie mnashinda njaa mwaka mzima ili ununue iphone refurbished uwatambie washamba wenzio. Grow up kijana those poor mentalities u have won't help you unless you change.
badilisha simu we boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…