Matukio ya kidunia kila interval ya miaka kumi

Matukio ya kidunia kila interval ya miaka kumi

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
1900 - 1910: mapinduzi makubwa ya modern technology ya kisasa Kama magari, ndege etc.
1910 - 1920: Vita ya kwanza ya dunia
1920 - 1930: anguko kubwa la kiuchumi was dunia. ( Great depression)
1930 - 1940: Vita ya pili ya dunia
1940 - 1950: umoja wa mataifa unaanzishwa
1950 - 1960: kugawanyika kwa dunia mifumo miwili. (Capitalism & communism).
1960 - 1970: space age revolution. Wanadamu wanafika anga za juu ( space)
Mwanadamu anakanyaga kwenye mwezi.
1970 - 1980: Iran political revolution
1980 - 1990: ukimwi unagundulika, ukuta wa Berlin unaanguka, kuanguka kwa ujamma na ushindi wa ubepari
1990 - 2000: mapinduzi ya digital age from analog
2000 - 2010: ugaidi wa kimataifa, boko Haram, alqaida, alshabab.
2010 - 2020: Corona
2020 - 2030: ??????????
Tukio la unyakuo was kanisa laweza kutokea. Ni mawazo yangu
 
Tutarudi hapa kupeana kitakacho jiri
 
2020-2030 malaika wana uwezo wa kujigeuza kuwa kiumbe chochote, kwanini kwenye gharika la Nuhu malaika hawakujigeuza kuwa samaki ili wasife?
 
Hypersonic arms race
The fall of NATO, EU and US dollar.
The rise of Eastern military alliance.
 
Unyakuo unaweza kutokea kipindi hiki cha 2020-2030. Ila haitazidi mwaka 2048 maana taifa la Israeli litatimiza kizazi kimoja (miaka 100) mwaka huo.
 
1900 - 1910: mapinduzi makubwa ya modern technology ya kisasa Kama magari, ndege etc.
1910 - 1920: Vita ya kwanza ya dunia
1920 - 1930: anguko kubwa la kiuchumi was dunia. ( Great depression)
1930 - 1940: Vita ya pili ya dunia
1940 - 1950: umoja wa mataifa unaanzishwa
1950 - 1960: kugawanyika kwa dunia mifumo miwili. (Capitalism & communism).
1960 - 1970: space age revolution. Wanadamu wanafika anga za juu ( space)
Mwanadamu anakanyaga kwenye mwezi.
1970 - 1980: Iran political revolution
1980 - 1990: ukimwi unagundulika, ukuta wa Berlin unaanguka, kuanguka kwa ujamma na ushindi wa ubepari
1990 - 2000: mapinduzi ya digital age from analog
2000 - 2010: ugaidi wa kimataifa, boko Haram, alqaida, alshabab.
2010 - 2020: Corona
2020 - 2030: ??????????
Tukio la unyakuo was kanisa laweza kutokea. Ni mawazo yangu
2022/2030
Vita ya tatu ya dunia

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom